Pole wamekuchukulia nonino yako? Tafuta mwingine maisha mbele kwa mbeleYaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
wakurya nawaogopa mie!

black is beauty
Tatizo la wakurya wana dharau sana wanawakee
Urakoze!lakini wote wale wale tu,Wasukuma ndo mambo yote,huyu mleta maada anawachukia,wakati wenzake wanajua kupenda,kupenda ni vitendo ndo maana wanawasaidia kazi wake zao,wakiwatunza wake zao eti mnasema wanahonga,Ngosha ndo mwanaume,mwanamke hawezi juta kuolewa na Ngosha
We umetoswa na msukumaa wewe wanaume watu ni balaa kuanzia nje .sebuleni,chumbani ndio balaaaaa,utuwacheeeer kila mwanaume ukitaka kupelekeshwa na mwanamke utapelekeshwaaaa,
Nyie si mpaka umtoe ngeo usoni utafikiri unakua umeoa kinyago full alama mpaka kalion tuwaaaacheeeee
Eti wanasema black Is beauty but white Is attractive!
Kwani wanang'ata.
thats none of your business. Unajua wametoana wapi? Inawezekana msukuma anafurahia halafu wewe mpiga chabo unaumia. Huu ndio tunaita umbea
wanahonga ila hawajui kulea familia hawajui kupenda wanauzombi wa k
Mura wewe mwanamke kazi yako kuzaa tu! Mi Nina rafiki yangu mkurya enzi tupo shule ya msingi yule binti alikuwa akikosea anachapwa na mdogo wake wa kiume chini ya usimamizi wa baba Yao!! Chezea mkurya wewe!!!
Yaani hawa watu washamba sana kwenye mahusiano wanahonga sana na wakiwa kwenye ndoa wanaendeshwa sana yaani mpaka aibu maana kuna mmoja nakaa nae hapa yaani ni balaa deki apige yeye, afue, aogeshe watoto limwanamke limekaa tu linabenjua mdomo na sio huyo wasukuma wengi kwenye mapenzi na ndani ya ndoa ni mazezeta sana.
sirudi kijijini.
Hahahahah! Aisee wewe unaongeza kuchafua jukwaa, maana ilikuwa wasukuma, wakatajwa wahutu wamefuatia watusi na wewe unaleta wahaya!!!
kinehe..