Wamarekani hawajapeleka askari wap. Sana sana wamepeleka washauri tu.
Here is one of them......BTW the Mall is partially "owned" by Israelites
Nimetafuta kavu la kukupa ila nakupotezea,picha aliyoweka mleta mada umeiona au umeamua kushobokaWakatimwingine muwe na akili, nini chanzo chanzo cha huo Moshi mkubwa?
Sasa hiv, Sky news na aljazeera wanafanya live coverage acha ujinga wewe....
live from KBC mida hii hawa jamaa wamelipua wenyewe. Sa sielewi ni wamejchoka ama walkuwa wanafanya nin.
On June 30, Kagame repeated that hewould not respond to those who advised him to negotiate with the FDLR, but alsowarned that in the right place and when the right time came "I will hitthem" for "there are lines one cannot cross". tujiandae na M23 WA KAGAME
Hiyo picha ni ya tokea juzi Jumamosi. Halafu hicho kipisto ndo kitasaidia nini sasa? Halafu huyo ni mtu wa wapi, Israel au Marekani? Unamjua wewe?
Hiyo picha ni ya tokea juzi Jumamosi. Halafu hicho kipisto ndo kitasaidia nini sasa? Halafu huyo ni mtu wa wapi, Israel au Marekani? Unamjua wewe?
Wanajamvi,
Hivi sasa wastagate imelipuka na kutoa moshi mkubwa
Jambo lililostua watazamaji na police walioko nje kupokea maelekezo na kukimbia kwenye maeneo yanayozunguka
Police na magari yakifanya operation kubwa.
Watangazaji wamesema tutazame hawawezi toa maelezo ya kulikoni wanasubiria mamlaka husika itoe taarifa ya mlipuko huo mkubwa.
magari ya kuzima moto na police wanatamka pishapisha
citzen tv live from wastgate
Nimetafuta kavu la kukupa ila nakupotezea,picha aliyoweka mleta mada umeiona au umeamua kushoboka
Here is one of them......BTW the Mall is partially "owned" by Israelites
Mwisho wa siku ilikuwa wafanye hivyo......coz walikuwa watokeje.........hilo nililifikiria na ndivyo ilivyokuwa......sasa sijui ili iweje........masikini waKenya waliopo ndani.......Mungu awapokee.......