Wastani wa watu 5 wanatekwa kila siku

Wastani wa watu 5 wanatekwa kila siku

Alafu sijui kwanini Dar wana huu uzembe aisee, huezi sikia Tarime, Mwanza au Kigoma mtu ananyakuliwa mbele ya watu 50+ eti anaingizwa kwa Pro Box na watu wanatoa macho tu.... Dar boys sijui wana shida gani aisee wapunguze ma booster, rojorojo na chips isiyokauka sana...

Nyie ndo mnataka kuandamana, yani watu wawili wanamteka mtu mbele yenu watu zaidi ya 50 na mmejificha mnachungulia kwa mbali hata kwenda kumuokoa mmeshindwa ndo mtaweza kuandamana? Huu ujasiri wa kinafiki mitandaoni mngeuhamishia mtaani mtu asingetekwa.
 
Alafu sijui kwanini Dar wana huu uzembe aisee, huezi sikia Tarime, Mwanza au Kigoma mtu ananyakuliwa mbele ya watu 50+ eti anaingizwa kwa Pro Box na watu wanatoa macho tu.... Dar boys sijui wana shida gani aisee wapunguze ma booster, rojorojo na chips isiyokauka sana...
Ndo huyu technically mtu katekwa mbele yao wako wengi na wameshindwa kumsaidia kakimbilia mtandaoni kupiga mikwara na kujidai jasiri

Nikimuita Nyumbu anakasirika
 
Kuna wakati mpaka mtu unawaza hii nchi imepata kirusi gani hiki? Mbona hizi mambo hazikuepo sana zimeanzia kwa utawara wa mkwere na ndiyo mpaka sasa ana sadikika ni masterminds wa maovu yote haya huko mboga mboga clan..

Au kuna watu wambao wamepewa ukandarasi wa kuteka watu?
 
Kuna wakati mpaka mtu unawaza hii nchi imepata kirusi gani hiki? Mbona hizi mambo hazikuepo sana zimeanzia kwa utawara wa mkwere na ndiyo mpaka sasa ana sadikika ni masterminds wa maovu yote haya huko mboga mboga clan..
Hivi Imran Kombe ilikuwa awamu ya nani?
 
Back
Top Bottom