Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Hili suala la chanjo halijaja kwa bahati mbaya Kuna motives behind na waliolileta hayo yote wanayajua na walishajiweka tayari na hayo yote ndio maana unaona wanaingiza taarifa zako kwenye database.Process zote nafanya,ila ya kutoboa tu nairuka.
Hakuna chanjo watu taarifa zao zinaingizwa kwenye database ambayo itatumika dunia nzima, Ila hii ya corona wanafanya hivyo. Hapo jiulize maswali zaidi kuna nini?
Hivyo sahau suala la kusema utahonga upewe cheti ili usichome. Walioleta hizi agenda za chanjo wako mbele ya muda