Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

Kesi yake ilisikilizwa na Jaji Mwaikasu(RIP) wa Dodoma ambaye alikuwa mmoja kati ya majaji bora kabisa kupata kutokea ktk nchi hii!

Naikumbuka kesi hii,Wasira alipatikana na hatia ya rushwa ya vyakula na mapombe kwa wapiga kura wake walio kuja Mahakamani kutoa ushahidi(Kipindi hicho takrima ilikuwa inachukuliwa kama rushwa mbaya sana)

Jaji Mwaikasu asinge mpendelea mtu yyt kwa wale tulio kuwa tunajua uweledi wake!Aache visingizio
Manyerere Jackton anasema:

Mwaka 1996 niliripoti kesi ya Warioba Vs Wasira. Ilifanyika Mjini Musoma. Wakati huo Mutungi (huyu wa Usajili wa vyama) alikuwa Hakimu Mkoa wa Mara. Kesi ilisikilizwa na Jaji Kahwa Lugakingira. Mawakili wa Wasira walikuwa Malamsha, Mwambegele (sasa ni Jaji), na Mabere Marando. Warioba aliwakilishwa na Josephar Rweyemamu na Profesa Jwan Mwaikusa (marehemu). Kesi ilikuwa tamu sana sana. Ushahidi ulikuwa na mvuto wa aina yake.
Nakumbuka Mabere alimwuliza Warioba, "Hivi wewe Warioba umeoa?" Halafu akamwambia, "Wewe umeshakuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, na tena Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, unajua ukiongea uongo hapa mahakamani utafungwa?"
Baadhi ya mashahidi wa Wasira ni kama Kicharwi Chacha Henche, Gamitwe, Museveni nk. Hizo notebook za kesi nzima ninazo hadi leo. Lakini tukio moja nalikumbuka, tukiwa karibu na Mkendo Guest House (nje kuliuzwa vinywaji na vyakula), jioni; Wasira akaniona. Akanifuata akiwa amewaka kweli kweli. Akataka akiidake anizabe kibao, bahati nzuri nami nilikuwa 'mzima'. Nikasimama kando. Marando akaingilia kati kuzuia. Wasira akawa amewaka kweli kweli akidai nilikuwa nikiripoti kwa kumpendelea Warioba. Marando akajaribu kumweleza kwamba kwenye ile kesi hatua za awali hapakuwa na namna ya kuripoti zaidi ya vile nilivyofanya.
Nikadhani yameisha, Kesho yake mawakili wa Wasira wakawasilisha hoja kwa Jaji Lugakingira nizuiwe kuripoti. Jaji akawaomba ushahidi wa distortion, wakawa hawana. Jaji akaamuri niendelee na kazi. Kesi hiyo ilikuwa na mvuto wa aina yake kwa kweli.

Tumuamini nani?
 
Last edited by a moderator:
Lakini tukio moja nalikumbuka, tukiwa karibu na Mkendo Guest House (nje kuliuzwa vinywaji na vyakula), jioni; Wasira akaniona. Akanifuata akiwa amewaka kweli kweli. Akataka akiidake anizabe kibao, bahati nzuri nami nilikuwa 'mzima'. Nikasimama kando. Marando akaingilia kati kuzuia. Wasira akawa amewaka kweli kweli akidai nilikuwa nikiripoti kwa kumpendelea Warioba.
Kamanda Comredi kumbe Wasira ubabe alianza zamani!, thank God, wewe ulikuwa Gado, mwenzetu Yasin Sadik hakuwa 'mzima', pale Maelezo makonde yalimshukia, nadhani ndio kisa cha Wasira kuitwa tyson!. Kisa cha kumpiga mwandishi, kisa ni matumizi ya neno 'swahiba' yeye akalitafsiri ni 'shoga!' sikumbuki hata hiyo kesi ya kumpiga mwandishi iliishaje!.

Pasco.

bado kubenea na umbea wake
 
hap kwenye kuuza samaki mzee kaongea km vile kuna kanjaa haliuma..hilo la ushushu kakosea sana kukataa..ila kajisema kwamba alikwenda kukomboa jimbo...ni kwamba alijua upinzania ndio wangechukua...kaenda lizuia kwa niab aya ccm kupitia upinzani.Huyu mzee ana logic ya sijui kiumbe gani..haha..mwisho km anataka sema CDM ila kwa sasa ana adamu sana na CDM...haha....eti vipo vyama mnavijua kwa majina..na wenyewe..kashindwa sema kweli kwamba CCM ina wenyewe ..kuliko wengine,wamepiga marufuku kabila na watu wa kanda fulani..na imekuwa hivyo.

Soma vizuri:

Kuhamia NCCR-Mageuzi

Wasira alisema kutokana na kukasirishwa na namna marehemu Gama alivyoshughulikia suala hilo, wale wazee walimweleza kuwa jimbo hilo lingeangukia mikononi mwa upinzani kwa kuwa Jaji Warioba alikuwa hakubaliki kwa wananchi.
"Wakaniambia hata usiposimama wewe sasa, kwa sababu hutasimama kupitia CCM akisimama mtu mwingine wa vyama vya upinzani atachukua na ambaye anaweza kuwa dhaifu zaidi,"
"Kwa hiyo wale wazee wakaniambia utoke CCM uende chama kingine ili uchukue lile jimbo uendelee kuongoza. Lakini wao wakasema hawatoki CCM watanipigia kura wakiwa huko huko."
"Sikwenda NCCR-Mageuzi kwa sababu nilikuwa napinga sera za CCM, hapana. Nilienda kunusuru jimbo kwa sababu nimeshindwa kupata jibu CCM," alisema Wasira na kueleza kuwa huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa kuhamia NCCR-Mageuzi.
"Kwa hiyo nikaenda NCCR-Mageuzi, (hicho chama) bado kipo niliingia bila kujua madhumuni na mpaka leo bado sijasoma madhumuni hayo, lakini nikaenda. Unaingia chama siku hiyo hiyo unapewa na kadi na uteuzi hapo hapo,"​
alisema Wasira.
 
Kesi yake ilisikilizwa na Jaji Mwaikasu(RIP) wa Dodoma ambaye alikuwa mmoja kati ya majaji bora kabisa kupata kutokea ktk nchi hii!

Naikumbuka kesi hii,Wasira alipatikana na hatia ya rushwa ya vyakula na mapombe kwa wapiga kura wake walio kuja Mahakamani kutoa ushahidi(Kipindi hicho takrima ilikuwa inachukuliwa kama rushwa mbaya sana)

Jaji Mwaikasu asinge mpendelea mtu yyt kwa wale tulio kuwa tunajua uweledi wake!Aache visingizio

Malafyale, Mzee Mwaikasu yuko hai. Anafundisha chuo kikuu cha wakatoliki/kikatoliki Ruaha zamani kilikuwa chuo cha Amon Nsekela.

Aliwahi kuwa faculty Dean wa Faculty of Law of the then Tumaini University Iringa kabla ya kushika nafasi kama hiyo Ruaha.

Yupo hai labda umechanganya na Mtoto wake Imma Mwaikasu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki mlimani city mwaka 2011
 
Last edited by a moderator:
Soma vizuri: Kuhamia NCCR-Mageuzi Wasira alisema kutokana na kukasirishwa na namna marehemu Gama alivyoshughulikia suala hilo, wale wazee walimweleza kuwa jimbo hilo lingeangukia mikononi mwa upinzani kwa kuwa Jaji Warioba alikuwa hakubaliki kwa wananchi.
“Wakaniambia hata usiposimama wewe sasa, kwa sababu hutasimama kupitia CCM akisimama mtu mwingine wa vyama vya upinzani atachukua na ambaye anaweza kuwa dhaifu zaidi,” “Kwa hiyo wale wazee wakaniambia utoke CCM uende chama kingine ili uchukue lile jimbo uendelee kuongoza. Lakini wao wakasema hawatoki CCM watanipigia kura wakiwa huko huko.” “Sikwenda NCCR-Mageuzi kwa sababu nilikuwa napinga sera za CCM, hapana. Nilienda kunusuru jimbo kwa sababu nimeshindwa kupata jibu CCM,” alisema Wasira na kueleza kuwa huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa kuhamia NCCR-Mageuzi. “Kwa hiyo nikaenda NCCR-Mageuzi, (hicho chama) bado kipo niliingia bila kujua madhumuni na mpaka leo bado sijasoma madhumuni hayo, lakini nikaenda. Unaingia chama siku hiyo hiyo unapewa na kadi na uteuzi hapo hapo,”​
alisema Wasira.
so what...?wewe ticha wa vidudu..bhana..unahitaji kupata sasusage kusafisha roho na mood...Ok..mwambie...sasa ahame CC ya ccm ikifanya hivyohivyo kwa yeye na Lowasa.pengine itakusaidia kuliko kubishana km nimesoma vizuri..
 
Manyerere Jackton anasema:

Tumuamini nani?
Kamanda, Comred Manyerere Jackton ndio yuko right, Jaji alikuwa Kahwa Lugakingira.
Malafyale, atakuwa amelichanganya jina la Prof. Jwan Mwaikusa na Mwaikasu

Mwaikusa alikuwa wakili wa Warioba!.

Siku zile ilikuwa very interesting kusoma kesi magazetini. Mimi nilianza kusoma kesi magazetini nikiwa darasa la tano, primary enzi ya Kesi ya Mauaji Mwanza, Mzee ndiye alikuwa RSO wa Mwanza wakati wa seke seke ile!. Nyumba ya RPC, RSO NA DSO wa mwanza zilikuwa zinafuatana, sisi watoto tulikuwa marafiki, hivyo ikatokea kesi wababa wa nyumba tatu zinafuatana wanahusika!.

Pasco.
 
so what...?wewe ticha wa vidudu..bhana..unahitaji kupata sasusage kusafisha roho na mood...Ok..mwambie...sasa ahame CC ya ccm ikifanya hivyohivyo kwa yeye na Lowasa.

dogov.mada kama hizi hazihitaji mambovya siasa hapa sanasana ni historia na ukumbosho hizi akili za kila kitu kufikili ni siasa za ccm na upinzani ni kuharibu mada hata kichwa cha thread kinaonesha hivyo
 
una shida wewe...sasa kinachoongelewa hapa nini?Au CCM ndio inakuuma kwani wassira naongelea chama gani?mwambie afanye hivyo tena kwa CCM ktk urais kwani maamuzi ya hayatatofutiana na mizengwe ya kawaida kabisa ktk ccm
 
gongo za kiwanda cha slaa zinakusumbua tulia watu waweke data sio kinyesi chako kichwani hukohuko
 
dogov.mada kama hizi hazihitaji mambovya siasa hapa sanasana ni historia na ukumbosho hizi akili za kila kitu kufikili ni siasa za ccm na upinzani ni kuharibu mada hata kichwa cha thread kinaonesha hivyo

Mkuu umenena vyema sababu huyo dogo hajui hata anachangia nini , badala atulie ale darasa analeta upuuz wa kivyama
 
gongo za kiwanda cha slaa zinakusumbua tulia watu waweke data sio kinyesi chako kichwani hukohuko
wapuuzi kwelikweli shari kibao..huu upuuzi ndio mmejiandaa miezi yote ili mje jenga nao haoja ya kwenda muumiza ktk cc ya CCM?mna akili ndogo..ni kwamba huyo wasira visamaki havijalipa sana nini hadi akodishe watu wa caliber ya chini hivi...kalaaniwa na CDM km TBC ,km Mkama,km wapuuzi wengine ambao wameshafutika ktk siasa...km anamfanyia mwenzie wa Mara...atawafanyia vipi wanaotoka mikoa mingine..ushenzi ni asili yenu..ndio maana hakuna vita mtashinda...
 
Malafyale, Mzee Mwaikasu yuko hai. Anafundisha chuo kikuu cha wakatoliki/kikatoliki Ruaha zamani kilikuwa chuo cha Amon Nsekela.

Aliwahi kuwa faculty Dean wa Faculty of Law of the then Tumaini University Iringa kabla ya kushika nafasi kama hiyo Ruaha.

Yupo hai labda umechanganya na Mtoto wake Imma Mwaikasu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki mlimani city mwaka 2011
Mkuu Mzito Kabwela, Malafyale, amemchanganya Mwaikasu na Mwaikusa!.
Pasco
 
wapuuzi kwelikweli shari kibao..huu upuuzi ndio mmejiandaa miezi yote ili mje jenga nao haoja ya kwenda muumiza ktk cc ya CCM?mna akili ndogo..ni kwamba huyo wasira visamaki havijalipa sana nini hadi akodishe watu wa caliber ya chini hivi.

akili kubwa anazo mbowe na division zero ya form six na leo wewe na mama yako mnamwita shujaa akiwambia kunja ngumikunja ngumi mnaikikia .mbeha wewe
 
so what...?wewe ticha wa vidudu..bhana..unahitaji kupata sasusage kusafisha roho na mood...Ok..mwambie...sasa ahame CC ya ccm ikifanya hivyohivyo kwa yeye na Lowasa.pengine itakusaidia kuliko kubishana km nimesoma vizuri..

Naona hoja zimekushinda na unaanza kuhororoja na kubwabwaja kwa kunivaa mimi.

Unasikitisha sana.
 
Kamanda Comredi kumbe Wasira ubabe alianza zamani!, thank God, wewe ulikuwa Gado, mwenzetu Yasin Sadik hakuwa 'mzima', pale Maelezo makonde yalimshukia, nadhani ndio kisa cha Wasira kuitwa tyson!. Kisa cha kumpiga mwandishi, kisa ni matumizi ya neno 'swahiba' yeye akalitafsiri ni 'shoga!' sikumbuki hata hiyo kesi ya kumpiga mwandishi iliishaje!.

Pasco.

Oooh, leo nimejuwa kwanini anaitwa Tyson.

Huyo Yasin Sadik hajamshitaki Wassira? au waandishi wa habari Tanzania wakishapewa kibahasha basi hata wakilishwa mangumi kwao ni halwa tu.
 
Naona hoja zimekushinda na unaanza kuhororoja na kubwabwaja kwa kunivaa mimi. Unasikitisha sana.
ni kwamba hujui kwamba ulikuwa unajenga hoja ya kijinga juu ya hoja..as if sijasoma vizuri kabla ya kuchangia,sasa ningekusaidiaje..unasema nimekuvaa...haha haa...nikikuvaa kweli hutapenda vuka...mimi nilisema kitu nakijua..ila wewe hukutaka elewa,huwa mimi sipendi ongea kitu too direct my assumptions mchangiaji anayelengwa atakuwa na pre informationa na reasoning before kurespond.Kuanza leweshana ndipo kunaibua mijadala mingi zaidi..wakati wapuuzi wengi hata wapo too shallow au wana concentration kidogo ktk issues.
 
Kabla hata sijasoma threat yako embu jibu kwanza hili unaona scandor ya escrow ilivyochangia kushusha thamani ya feza yetu? Ninahamini imechangia zaidi ya asilimia 70

Kwanza hilo neno sijuwi maana yake nimetazama kamusi sijaliona.

Halafu, hebu soma mada. Kama una maswali au maoni kuhusu escrow na au thamani za fedha kuna nyuzi zake au funguwa nyuzi tutakuja kuchangia, huoni kuwa hapa umedandia basi la ferry na wewe unakwenda segerea?
 
Mkuu umenena vyema sababu huyo dogo hajui hata anachangia nini , badala atulie ale darasa analeta upuuz wa kivyama
unavyoongea tuu inaoneka na mtu wa hovyo sana hata huo uswazi.Wewe hata vitu vimekuzidi kwa kila kitu unaita dogo kirahisi tuu...ndio maaana siku zote waswahili hujikuta ktk mechi wanapwaya mnaishia kusema ni hujuma au mechi imekataaa..
 
Back
Top Bottom