Wassira: Nitagombea urais 2015


Unataka kuturudisha kwenye enzi za nyerere ambpo katibu mkuu kiongozi musoma katibu wa rais musoma gavana beni kuu I musoma to mkuu wa majeshi musoma nchi ukafilisika bia ttulpanga foleni mkate tulipa nga foleni wewe umetumwa nini
 
ndg zangu wanaccm ili kuweza kuendea kushika dola ni bora mkampitisha wasira kwenye nafas ya urais watanzania wamechoka ufisadi na wengi wamekuwa macho sasa hivyo basi suala la kumpitisha lowasa ni kuimaliza kabisa CCM na hiyo itakuwa advantage kwa upinzani. binafsi sijaona anaefaa ktk nafas ya urais zaid ya wasira kwani huku ukawa sijaona kama kuna presidential yy
 
Yaani wwe utakua na matatizo! Unajivika koti la upinzani nawakati wewe ni GAMBA! MAGAMBA mlishachafuka kitambo sana. Hahahaaaa! Wasira kakutuma ulete propaganda hii! teh teh teh teh! hahahahahahaaaaaaa! hahahahahahaaaaaaa! But kwa upande mwingine nakubaliana na wewe kua STEVE anafaa kuwa raisi kwani nahisi pato la taifa litaongezeka mara dufu kwasababu yeye mwenyewe ni kivutio kizuri sana sana cha utalii. Akienda ulaya, asia au america wata_enjoy sana kwani watahisi wamefika hifadhi ya gombe iliyoko Tanzania. Akiwa rais watanzania tutafurahi sana kila siku awe na ziara nje ya nchi kila siku ili aongeze pato la taifa kupitia utalii. Chamsingi ajitahadhari na mafisadi tu. Hahahahaaaaaaa! Wadhungu wakimuona watafurahi sana, utasikia wakistaajabu tu "woooooooow it is so wonderful". Teh teh teh!
 
Tanzania ni Nchi Ambayo watu wake wengi huwaza kishirikina zaidi
Ni nchi Ambayo mambo yake huenda kimatukio zaidi kuliko Nchi zingine barani Afrika
Ni Nchi ambayo watu wake wengi wanamatatizo ya kusahau yaliyotokea
Ni Nchi ambayo watu wake wengi hupenda michepuko kuliko ndoa
Ni nchi amabayo watu wengi huishi kimasihara sana kuliko nchi zote Duniani
Ni nchi ambayo ukiwa na hela unaweza kupewa utukufu SAWA na mungu kwani wengi Imani zao Ni Haba sana

2015 asipokua WASIRA WA CCM basi Ni Dr.Slaa wa UKAWA
CCM hawana utaratibu wa kutoa watu wanaotegemewa na jamii mara nyingi
KWA mfano mwaka 1995 WATANZANIA tulimtegemea Mume wa Anna Kilango lakini ikawa patupu
Mwaka 2005 tulimtegemea Dr.Ahmed Salim lakini wakamleta Jakaya Mrisho Kikwete
Mwaka 2015 ni mgumu ila KWA DURU zilivyo nashawishika kuwa Huyu WASIRA Ndio wanaemuandaa ukiangalia KWA makini huyu jamaa japo wengi husema Ni mzee wa CCM anawaza ki CCM ,wengine sura mbaya hao mm nawachukulia kama panya Road tu kwa sababu maandiko matakatifu yanasema sote Ni mfano wa Mungu.ndio maana Hata JK Akampa Uwaziri wa IKULU ili wapokee wote Wageni

Amekua akitajwa zaidi na WANA CCM KULIKO UMMA NA UKUMBUKE KIONGOZI YEYOTE HUANZIA KWENYE CHAMA CHAKE KWA wananchi wake wanaenda kutetea Chama tu!

RAIS Ajae ni STEPHERN WASIRA NDANI YA CCM
NA View attachment 215756qMSHINDI WA PILI NI DR.slaa

From Ras wa mapanya Road
To the Home of Panya Road thinkersView attachment 215756
 
Inawezekana kugombea kwa tiketi ya CCM (usiseme atakuwa rais moja kwa moja) maana huyu jamaa magamba wanamkubali km ni jembe wao katika kupanga mikakati ya kisiasa dhambi yake kubwa inayongharimu ni kuhama chama na kurudi, maana inasemekana mikakati ya mkuu wa kaya kukaa hapo mingi imefanywa na huyo jamaa ukimuondoa EL na RA.
 
Nyalandu ....
Wasira ...
Lowassa ....
Membe ....
Mwakyembe ...
Tibaijuka ....
January ...
...nk, nk
Kila kitu chawezekana Tanzania. Viongozi wa umma wanaiba wazi wazi Sh billion 300 wakati watoto shuleni wanakaa kwenye mawe sakafu ya vumbi, ......
Watoto wa mtaani Panya Road wana uwezo wa kutandaza hofu na kuizima Dar mpaka polisi wanajifungia ndani, .....
Hata ukisema kiongozi wa Panya Road atakuwa raisi nitasema kwa Tanzania hiyo yawezekana sana .......
 
Wasira jimbo la bunda anapumulia machine urais atauweza mziki wa el
 
Mshaanza kutuharibia siku wakati leo jumapili siku ya baraka.
 

Lowasa, Six, MWAKYEMB kwani wamegoma kugombea?
 
Nasubilia kuona Mdahalo kati ya Dr.Slaa na Wassira hapo October mwanzoni.
Viti vitawaka moto.

Ndani ya CCM wengine wote waoga wakimbia midahalo, Mfano kama Lowassa atatoa hoja gani atakapoulizwa kuhusu Rushwa na Ufisadi.
 
Sina upendeleo wowote, wala siwezi kuwashauri CCM maana hawa ni kama sikio la kufa, CCM hii ambayo hata Tibaijuka anaweza kumtunishia misuli Rais wa Nchi na bado Rais akaomba Poo! Kuwa nimemuomba, blaa! Blaa!!

CCM hii haioni kuwa Wananchi wamekasirishwa na suala la Eskrow lakini bado wao wanasema pesa sio za umma.

CCM hii hata ukiwambia Lowasa Mwizi watasema ndio jembe, wakati ameliingizia Taifa hasara na akajiuzulu mwaka 2008 na 2009 akawekwa kwenye orodha ya mafisadi 10 Tanzania, Lakini leo Watamleta kama mgombea wao.

CCM haina nafuu,nawashauri tu:
Stephen Wassira ni bora kuliko wengine maana hata kwenye Sakata la Eskrow ameonekana yuko upande wa Wananchi. Na amelalamika maamuzi kuchelewa kutolewa.

Huyu ndiye anayeweza kujibu hoja za ukawa na si mwingine.
Shauri yenu CCM ushindi wenu uko kwenye maamuzi yenu.
 
Mpelekeni akagombee ktk hifadhi ya selou atapata bila kupingwa lakn c tz hii mpya ninayoifahamu,
 
Wajamani watu wrote wanaotaka mabadiliko kwenye taifa hili wasichangie habari ya ccm nani wamchague bali tujikite kuwashauri ukawa namna watakavyo fanya katika kumtea mgombea wa uraisi nakuweka mikakati ya ushindi na jinsi watakavyo ipanga serikali yao.
 
Tukumbuke afya ya mgombea urais ni muhimu sana kuangaliwa
 

Hata huyo Wasira hatumtaki bali tunamtaka mtoto wa rais jk ndio ashike mikoba kwani urais ni wa damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…