Ras Kisuse
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 368
- 31
Yawezekana nimesahau. Naomba unikumbushe. Huyu Wasira alishawahi kutoa hoja gani kweli ya maana? Pili unasema hana upigaji watu ni mtu wa hoja, jina la Tyson lilitokana na nini?
Tatu kwao hawamtaki, kwa n ini wewe ulazimishe awe raisi . Raisi wa nani?
Yeye mwenyewe anafahamu na diyo maaana hata kuna siku aliwaambia wapiga kura wake wakti wanahoji akasema ".....si mlinichagua kwa pesa zangu...", a corrupt president. Hakuna wasira hatakuja kuwa raisi wa nchi hii kamwe!. Hata afanyeje. Hata wafuasi wake mmuoshe kwa magadi na hisopo!. Mnapoteza muda tu kwa sababu hatumchagui.

...naamini alimaanisha rais wa red cross society...
Amezaliwa 1945, mwaka kesho atakuwa na miaka 70.
Slaa amezaliwa 1948 na Nape anamwita Babu, sasa Wassira tumwiteje, kababu, kibabu au libabu ama jibabu?
Wasira hapana jani..... do...
Hizo sauti za waliokata tamaa, baada ya kuchoka na Propagandas sasa wanaleta Nonsenses! Definitely this Country will not need them! Respect yourself and others will respect you. And Stop offending others!
masikin et rais wassira hahahaha uyu mzee uyu mm sina shida na sura yake nina shida na akili yake yan seriously anaona na yy anaeza akaongoza nchi maskini tanzania nchi yangu
ras kisue ww ni zuzu no nid to argue with stupid mindHata muoa mama yako Mkuu sura ni kazi ya mungu akili ndo maana kapewa uwaziri kwa nn asipewe baba yako aisee
eti wewe ndo mtetez wa wasira aiseeeh na kakuahid kaukuu ka wilaya labda doh
Alimaanisha Urais Wa Nchi
inasemekana kuwa CCMZ imejipanga kurudisha imani kwa wananchi kwa kusimamisha mgombea asie na kashfa na mwenye uwezo wa kusimamia serikali usiangushwe au kuhujumiwa habar za kuaminika kutoka vyanzo vya ndani ya chama vinadai kuwa ccm haiko tayar kumpotisha kiongozi aliyechafuka tiar na mwenye kashfa nyingi kufanya hivyo nj kuiweka ccm na taifa rehani habar za kuaminika zinadai kuwa ccm haiwezi kumpitisha lowasa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni kutoaminika na chama na kuhofia safu ya serikali itakayotengenezwa kwani kiongozi huyo anaepigiwa debe na upinzani na matajri wakubwa imewapa ccm cntofahamu kuhusu mwisho wa kiongozi huyo hivyo basi ili kujiweka ktk hali ya kujihakikishia ushindi chama kimeons bora kumpitisha tyson ili kuweza kuwaaminisha wananchi amani waliyoizoea... pia mzee wasira amezid kuwapa ushawishi watu kutokana na historia yake safi na kuwatetea maskin kuhusu suala la ufisadi... hivyo tujiandae kuongozwa na muraaa