Wassira: Nitagombea urais 2015

Wassira: Nitagombea urais 2015

Pamoja nyadhifa mbalimbali alizoshika serikali, huyu Wassira amelifanyia nini taifa hili kiasi cha kufanya watanzania wamkumbuke?
 
wazee wengne wangepumzika tu.

tokea enzi za Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete bado tu wapo ktk madaraka...
 
Pamoja nyadhifa mbalimbali alizoshika serikali, huyu Wassira amelifanyia nini taifa hili kiasi cha kufanya watanzania wamkumbuke?

Mkuu ukifanya vitu vichache ni rahisi kukumbuka kuliko aliefanya mengi nadhan WASIRA Kafanya mengi
 
Tangia juzi alikuwa anazurura tuu hapa Musoma na makelele meeeengi kuwa atahutubia kwenye mkutano uliofanyika jana, lakini cha ajabu akala kona baada ya kuona hakuna watu kwenye huo mkutano. Hakupanda jukwaani na hakujulikana yupo wapi! Mzigo wa aibu akamuachia Mathayo mNEC.
 
Ana historia ya kuhama chama? alipoenda upinzani alikizungumziaje chama chake akiwa upinzani, na jee akinyimwa fursa hiyo anaweza kuhama tena kwenda chama kingine kitakachompa fursa ya kugombea?
 
Muacheni agombee maana kule anafikiri anaenda kuongoza kuku.Kama anashindwa kufunga vifungo vya koti tu akiwa rais c atatutia aibu tu. Akagombee urais wa ukoo wao
 
Waziri wa Kilimo CHAKULA na Ushirika Mhe. Stephen MASATO WASIRA Amesema kuwa Yote yasemwayo kuhusu mchakato wa kugombea Urais ni ukweli mtupu.
Waziri huyo wa Kilimo alienda mbali kwa kusema kugombea urais sio dhambi cha msingi ni kuwaeleza WATANZANIA KUWA Kwa nini unadhani unastahili kugombea na Ajenda zitakazo jibu matatizo ya Watanzania na sio kushabikia watu kwa muonekano Wao pasipo kuangalia vipaumbele vinavyogusa wananchi

Kwa sasa amesema anasubiri mda waruhusiwe na kamati ya maadili baada ya kupewa onyo na chama chake
Swali langu hivi uongozi ni utashi wa mtu au mwonekano wa MTU?View attachment 231574

Hivi kwanini watanzania tunapenda kuwapigia kampeni wala rushwa na watoaji wa rushwa ili wapate uongozi?
 
Ana historia ya kuhama chama? alipoenda upinzani alikizungumziaje chama chake akiwa upinzani, na jee akinyimwa fursa hiyo anaweza kuhama tena kwenda chama kingine kitakachompa fursa ya kugombea?

Kuhama chama si tatizo ni kutofautiana mtazamo au kudhurumiwa haki na yeye anadai alidhurumiwa haki yake ndani ya CCM kwa kipindi kile ndio maana wana CCM WALEWALE waliodhurumiwa Mgombea wa wakamchagua
 
Muacheni agombee maana kule anafikiri anaenda kuongoza kuku.Kama anashindwa kufunga vifungo vya koti tu akiwa rais c atatutia aibu tu. Akagombee urais wa ukoo wao
Koti lilikua lake au la Nchi?
 
huyu ile picha ambayo hukaa kwenye ukuta maofisini itakuwa nadondoka tu
 
Hajawahi kufanya kazi na mkapa fuatilia Historia yake vizuri

Hata kama hakuwahi kufanya kazi na Mkapa, kuongoza nchi sio masihara. Wasira hana innovative thinking na ushawishi kuweza kuleta mabadiliko chanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Tumepoteza miaka kumi na Kikwete inatosha.
 
Umesema yote

Wasira ni laana kwa taifa

Akaongoze Sokwe huko
 
Back
Top Bottom