Wassira: Nitagombea urais 2015

Wassira: Nitagombea urais 2015

Kama lipo la KUSEMA ImageUploadedByJamiiForums1423554587.342419.jpg lisemwe kwa sababu wanazozijua wao. Ni wazi kwamba wagombea wote watakaojitokeza kuomba nafasi hiyo ya juu zaidi watakuwa na mapungufu yao kama binadamu lakini kama Taifa linalohitaji kujikomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa; ni vema tuwaepuke wote wenye sifa hizi ambazo kwa maoni yangu zinazidi kiwango cha mapungufu ya kibinadamu;

1. Wala rushwa: Hawa watahalalisha rushwa ili waweze kufaidi keki ya nchi yetu wao, marafiki zao, wapambe wao na familia zao. Nchi itazidi kudidimia katika lindi la umaskini. Kama wao watafanya madudu huko juu, walio chini pia wataiga. Wanyonge na maskini watazidi kutokomea kwenye tope hilo.

2. Mafisadi/ watuhumiwa wa ufisadi: Hawa wataifisadi nchi na wote waliomo. Namaanisha nchi itazidi kuuzwa na vyote vilivyomo ikiwa ni pamoja na wananchi. Wataingia kwenye mikataba ya kifisadi ili mradi wao wananufaika binafsi. Hapa tutashuhudia maandamano kila kona ya nchi. si wanachuo, Madaktari, walimu, bodaboda nk.

3. Wanaotumia udini na ukabila: Hawa wanaweza kusababisha machafuko nchini.

4. Wanafiki/ Wasanii: wazuri wa kuongea na kupanga mikakati mitamu na mizuri kusikia lakini ndani yake usanii mtupuu.

#WANYONGE WAMEPATA MTETEZI #2015
#WASIRA MTETEZI WAO
 
Ni mtazamo wako, ila mimi naamini muda bado, tuwe na subira tu.
 
Rais wa wanamasumbwi duniani.
Mwambie ajifunze kuvaa
 
Kama lipo la KUSEMA View attachment 225722lisemwe kwa sababu wanazozijua wao. Ni wazi kwamba wagombea wote watakaojitokeza kuomba nafasi hiyo ya juu zaidi watakuwa na mapungufu yao kama binadamu lakini kama Taifa linalohitaji kujikomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa; ni vema tuwaepuke wote wenye sifa hizi ambazo kwa maoni yangu zinazidi kiwango cha mapungufu ya kibinadamu;

1. Wala rushwa: Hawa watahalalisha rushwa ili waweze kufaidi keki ya nchi yetu wao, marafiki zao, wapambe wao na familia zao. Nchi itazidi kudidimia katika lindi la umaskini. Kama wao watafanya madudu huko juu, walio chini pia wataiga. Wanyonge na maskini watazidi kutokomea kwenye tope hilo.

2. Mafisadi/ watuhumiwa wa ufisadi: Hawa wataifisadi nchi na wote waliomo. Namaanisha nchi itazidi kuuzwa na vyote vilivyomo ikiwa ni pamoja na wananchi. Wataingia kwenye mikataba ya kifisadi ili mradi wao wananufaika binafsi. Hapa tutashuhudia maandamano kila kona ya nchi. si wanachuo, Madaktari, walimu, bodaboda nk.

3. Wanaotumia udini na ukabila: Hawa wanaweza kusababisha machafuko nchini.

4. Wanafiki/ Wasanii: wazuri wa kuongea na kupanga mikakati mitamu na mizuri kusikia lakini ndani yake usanii mtupuu.

#WANYONGE WAMEPATA MTETEZI #2015
#WASIRA MTETEZI WAO
Ataongeza matumizi ya serikali... itatulazimu kumpeleka kozi ya mavazi kwa miaka 2 kwanza.... No way
 
He will become a president October 2015, he will unite all Tanzanians, he will speed up development and fight against endemic corruption!
 
He will become a president October 2015, he will unite all Tanzanians, he will speed up development and fight against endemic corruption!
...maajabu haya!rushwa kaleta mwenyewe
 
Waziri wa Kilimo CHAKULA na Ushirika Mhe. Stephen MASATO WASIRA Amesema kuwa Yote yasemwayo kuhusu mchakato wa kugombea Urais ni ukweli mtupu.
Waziri huyo wa Kilimo alienda mbali kwa kusema kugombea urais sio dhambi cha msingi ni kuwaeleza WATANZANIA KUWA Kwa nini unadhani unastahili kugombea na Ajenda zitakazo jibu matatizo ya Watanzania na sio kushabikia watu kwa muonekano Wao pasipo kuangalia vipaumbele vinavyogusa wananchi

Kwa sasa amesema anasubiri mda waruhusiwe na kamati ya maadili baada ya kupewa onyo na chama chake
Swali langu hivi uongozi ni utashi wa mtu au mwonekano wa MTU? ImageUploadedByJamiiForums1425395013.619540.jpg
 
Back
Top Bottom