usimkosee MUNGU wako kijana wote sisi ni matokeo ya mungu hauziki ki VIPi?[/QUOTE
Kwani wewe umeelewa kivipi hadi umetaka kunihukumu???????
Nnmemaanisha hana sera inayouzika kimataifa. upo hapo??
kimsingi huyu mzee mi simkubali kabisaaa.
nimependa sana wana JF wengi kwenye huu uzi wako positive , ni mmoja nimeona amesema mzee amechoka analala bungeni ila sijaona aliesema mzee hayuko makini anafunga koti WASSIRA STAILI, i like to be honest to myself, mzee hayuko makini kufunga koti atakuwa makini na URAIS? ataweza kubeba watz millioni 47 kichwani? amuulize JK!
Kiyoyozi cha mule kinabembeleza kimya kimya sio kama vya huku mitaani kwetu vinapiga kelele.
Nawashangaa sana nyie Vijana, kazi kubwa mnayoifanya hapa JF ni kupinga Kila kitu. Hata wakati JK anaingia mara ya Pili 2010 mlimshambulia na kutukana, lakini leo anamalizia Muhula wake wa Pili taratibu bila shaka. Mmekuwa kama Chiriku kuiga kila sauti ilimradi tu muonekane mnapinga, Hoja juu ya Viongozi wengi hasa walioko CCM no negative kila siku. Hata Wassira ambae tunamjua kabisa kuwa sio Mwizi na kiongozi mwenye msimamo thabiti mnambeza!!!???
Nadhani kuna umuhimu wa ninyi kubadili mtazamo katika maeneo fulani hasa yanapokuja maslahi ya Nchi. Lasivyo mtapiga kelele saaana mwisho anakuwa Rais mkaishia kuaibika na kunung'unika miaka 10 mingine.
Badilisheni Mtazamo.
Tovuti rasmi ya Stephen M. Wasira