Wassira: Nitagombea urais 2015

Kwa kuwa Mkwere kaweza kumaliza muda wake basi kila JUHA linaona linaweza pia kumaliza muda wake. Hapa ni kumaliza tu muda na si KUONGOZA!!!
 
Bora tumpe komba tujue moja kuwa tumeshindwa kumchagua mtu wa kutuongoza.
 
Dah toba hawana tofauti na yule sokwe wa znz sefle idi ni masokwe watu walovaa nguo wamekimbia kwenye mapori ya Congo wameingia mitaani toba
 
Eti anaguswa na homa za wananchi,nana kakwambia wananchi wagonjwa!
 
Huyu Mzee hafai, keshakaa kwenye uwaziri miaka kibao hakuna alichofanya zaidi ya propaganda tu, huu ni wakati wa fikra zenye maono sio zilizochacha kwa unafiki na fitina Kama huyu mzee
 
Hapo kwenye afya nzuri nadhani ungefikiri tena. Unasemaje ana afya njema wakati yeye mwenyewe aliwaki kukiri kusinzia kwake bungeni kunatokana na matumizi ya dawa za ukoma?
 
wameng'ang'ana na photoshop hadi kero.. hahhhahhahhhaaaaaaa
 
CCM nayo imekuwadhaifu mno kila wanapowapiga mkwara wanachama wake wasijitangaze kuwania urais kabla ya wakati ndiyo kwanza wanavumbua njia nyingine ya kujitangaza.CCM wangetoa mfano kwa kumtimua mtu hata mmoja upuuzi kama huu ungeisha kabisa.
 

People's voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…