TEGETA KIBAONI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 651
- 142
Kuvuta bangi bila kula ni mbaya sana,ukichanganya na viroba ndiyo majanga kabisaaaaa!KIUFUPI, MH. STEPHENE WASSIRA NI TEGEMEO LA WANYONGE NA WATANZANIA KWA UJUMLA AMBAPO ANAZIJUA SHIDA NA HOMA ZA WATANZANIA.
NI MTATUZI WA MATATIZO NA MIGOGORO PALE INAPOKUWA IMESHINDIKANA.
KIONGOZI HUYU ANASTAHILI KUPEWA NCHI ILI AJE KUTUTATULIA MATATIZO YA UCHUMI, UMASIKINI, ELIMU, AJIRA NA KADHALIKA.
KIMSINGI MH. WASSIRA NI MUADILIFU, MZALENDO, MCHAPAKAZI NA ANAIPENDA NCHI YAKE TANZANIA. ANA UCHUNGU WA NCHI YAKE NA YUPO TAYARI KUIVUSHA KUTOKA KATIKA DIMBWI HILI LA UMASIKINI HADI UTAJIRI.
KILA LA KHERI MH. WASSIRA, WATANZANIA TWAKUITAJI UWE RAIS 2015 ILI UMASIKINI TZ IWE NDO BYE
BYEEEEEEEEE
Alisimamia vibaya swala la haki ya kuchinja kati ya Mkristo na Mwislam.Bila kujali Mfugo ni wa nani,aliwapa haki hiyo Waislam.Hafai kwa sababu hana Msimamo binafsi mpaka apewe maelekezo.
KIUFUPI, MH. STEPHENE WASSIRA NI TEGEMEO LA WANYONGE NA WATANZANIA KWA UJUMLA AMBAPO ANAZIJUA SHIDA NA HOMA ZA WATANZANIA.
NI MTATUZI WA MATATIZO NA MIGOGORO PALE INAPOKUWA IMESHINDIKANA.
KIONGOZI HUYU ANASTAHILI KUPEWA NCHI ILI AJE KUTUTATULIA MATATIZO YA UCHUMI, UMASIKINI, ELIMU, AJIRA NA KADHALIKA.
KIMSINGI MH. WASSIRA NI MUADILIFU, MZALENDO, MCHAPAKAZI NA ANAIPENDA NCHI YAKE TANZANIA. ANA UCHUNGU WA NCHI YAKE NA YUPO TAYARI KUIVUSHA KUTOKA KATIKA DIMBWI HILI LA UMASIKINI HADI UTAJIRI.
KILA LA KHERI MH. WASSIRA, WATANZANIA TWAKUITAJI UWE RAIS 2015 ILI UMASIKINI TZ IWE NDO BYE
BYEEEEEEEEE
View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268View attachment 218268
nasikitika kumpamba mtu wako kwa kundi moja la wanyonge,mtu wa hvyo hatufai kwani twamtaka ambae atakuwa na maslahi kwa watanzania wote kwakuwa hili si taifa la wanyonge kama unavyohisi,huo unyonge ni mwamvuli wa kukatisha tamaa vjana wasichakarike kutafuta maisha badala yake wajione wanyonge,smkatai/smkubali bali naonesha kuwa twataka hoja na si kumvika mtu mazingira aonewe huruma na kundi fulani la watu,nashauri umpambe mtu wako kwa hoja zenye mashiko ili watz waamue wenyewe,pia epuka kauli jumuishi ili watu watumie akili zao vema kwenye kutafakali hoja zako.nakutakia kazi njema!
feisalmollel Atasaidiaje Wanyonge wakati itikadi ya Chama Chake yaani hicho CHAMA CHA MAPINDUZI kimelikimbia JEMBE na NYUNDO sasa ni Chama halisi cha KIBEPARI.... Hakijali hao wanyonge na vijana...
Hiyo ndio katiba ya CCM kwahiyo MASIKINI ATABAKI KUWA HAO VIJANA ie PANYA ROAD ndio sera za CCM
hebu toa uharo wako hapa haraka