Wassira msinziaji na Mh. J.J.

Wassira msinziaji na Mh. J.J.

Ni vema kuwe na ukomo wa umri wa mawaziri na watendaji wakuu wa serikali ili kuepusha usingizi kama huu. Hivi ana miaka mingapi make mia tangu utoto namsikia Wassira kama waziri hachoki?
 
Lengo la JK kumweka tyson kwenye baraza la Mawaziri ni kujaribu kuweka watu wanaotishatisha kwa sura na kauli, ili at least baadhi ya mambo yaende kimjinimjini!
sura ya wasira inafaa kutumia kutishia watoto ambao hawapendi kula..
 
sura ya wasira inafaa kutumia kutishia watoto ambao hawapendi kula..

ambao hawapendi kuoga -- ha ha ha

Jamani mwacheni mzee wa watu asitaafu kwa heshima, alipata taabu sana kipindi fulani hadi kuanza ujasiliamali wa SATO (Mza - Dar) kwa ATC.

Ni mzee wetu huyu lakini si yeye pekee bali hata wengine wengi ndani ya bunge inakuwa vigumu kuenda tofauti ya sera ya vyama vyao, kuna wakati inabidi mtu aonekane hajui ili kukitetea chama chake - hilo halikwepeki ndugu zangu.
 
Tatizo la huyu nyara ni pale alipojitahidi kutumia muda mwingi kueneza propaganda mbaya dhidi ya cdm. Yako wapi sasa.
 
Limelala_linajamba.jpg
kuna wengi wanao sinzia kwenye mikutano kwa kuanzia hawa hapa list itaendelea...lolView attachment 32554View attachment 32555
 
Bado ile ya Mwanakwaya mkuu wa bendi ya chama cha magamba. nadhani sasa hivi ni mwakilishi wa wananchi wa huko anakotoka. Iwekwe hapa ile inafanana sana na hiyo ya Tyson.

komba1.jpg

Kwikwikwii.....anaota kebineti ya 2015 hapa

komba+na+lowasa.JPG
 
komba1.jpg

Kwikwikwii.....anaota kebineti ya 2015 hapa

komba+na+lowasa.JPG

Mkuu unatisha. Lakini mwanakwaya alidai yeye hakusinzia bali alikuwa analiombea bunge.
Na huyo nywele nyeupe tangu lini amekuwa producer/mc/dj?
 
Back
Top Bottom