Wassira msinziaji na Mh. J.J.

Wassira msinziaji na Mh. J.J.

Mkeshaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,258
Reaction score
1,418
Hawa hapa:

jj.jpg
 
Mkuu Mkeshaji usimcheke Wassira kwa sababu hata wewe naona unasinzia usingizi haujakuisha kutokana na kukesha. Bado sijaelewa ulitaka kutoa message gani kwenye hii thread
 
mkeshaji

habari ya mkesha wa mwaka mpya
 
Mkuu Mkeshaji usimcheke Wassira kwa sababu hata wewe naona unasinzia usingizi haujakuisha kutokana na kukesha. Bado sijaelewa ulitaka kutoa message gani kwenye hii thread

Sisinzii mkuu. Mi niko solid.
 
Ningeambiwa niipe picha hii maneno basi ningemsikia Mh. Wasirra msinziaji akimwambia mnyika

Wassira" Yaani nyie vijana mnatuhenyesha kweli kweli, kazi inakuwa ngumu sana
Mnyika: hapana mzee ni mambo ya uwajibikaji tu kwa wananchi waliotuchagua
Wassira: Hapana bwana mmetuamulia sana this term
Wasirra: Sasa mwanangu John itabidi kabla sijaondoka madarakani nikupeleke CCM una upeo mkubwa sana ukatusaidie maeneo ya uenezi.
Mnyika: Kichekooo, hapana nafikiri nina nafasi kubwa kuwatumikia wananchi nikiwa CHADEMA mzee.

Wote kicheko - huku wakipita mlango mkuu wa bungeni.
 
Ningeambiwa niipe maneno picha hii basi ningemsikia Mh. Wassira msinziaji akimwambia mnyika

Wassira" Yaani nyie vijana mnatuhenyesha kweli kweli, kazi inakuwa ngumu saana bungeni bwana!!
Mnyika: hapana mzee ni mambo ya uwajibikaji tu kwa wananchi waliotuchagua.
Wassira: Hapana bwana mmetuamulia sana this term.
Wasirra: Sasa mwanangu John itabidi kabla sijaondoka madarakani nitamwambia JK tukupeleke CCM una upeo mkubwa sana ukatusaidie eneo la sera na uenezi lipo weak kiasi.
Mnyika: Kichekooo, hapana nafikiri nina nafasi kubwa ya kuwatumikia wananchi nikiwa CHADEMA mzee.

Wote kicheko - huku wakipita lango mkuu la kuingilia bungeni kuchukua nafasi zao.
 
Lengo la JK kumweka tyson kwenye baraza la Mawaziri ni kujaribu kuweka watu wanaotishatisha kwa sura na kauli, ili at least baadhi ya mambo yaende kimjinimjini!
 
Ningeambiwa niipe picha hii maneno basi ningemsikia Mh. Wassira msinziaji akimwambia mnyika

Wassira" Yaani nyie vijana mnatuhenyesha kweli kweli, kazi inakuwa ngumu sana bungeni.
Mnyika: hapana mzee ni mambo ya uwajibikaji tu kwa wananchi waliotuchagua.
Wassira: Hapana bwana mmetuamulia sana this term.
Wasirra: Sasa mwanangu John itabidi kabla sijaondoka madarakani nikupeleke CCM una upeo mkubwa sana ukatusaidie maeneo ya uenezi.
Mnyika: Kichekooo, hapana nafikiri nina nafasi kubwa kuwatumikia wananchi nikiwa CHADEMA mzee.

Wote kicheko - huku wakipita mlango mkuu wa bungeni.

Mzee kweli you are great thinker. Salute. Sijawahi ona hilo lijamaa likicheka.
 
Lengo la JK kumweka tyson kwenye baraza la Mawaziri ni kujaribu kuweka watu wanaotishatisha kwa sura na kauli, ili at least baadhi ya mambo yaende kimjinimjini!

Hawajui kuwa mambo yamebadilika siku hizi watu hawaogopi sura. Tunakwenda kwa hoja.
 
Jamani jamani....Sitting allowance = Posho ya kukaa bungeni = Posho ya kusinzia bungeni

wassiramsinziaji2.jpg
 
Lengo la JK kumweka tyson kwenye baraza la Mawaziri ni kujaribu kuweka watu wanaotishatisha kwa sura na kauli, ili at least baadhi ya mambo yaende kimjinimjini!
Hapana mkuu, jamaa anaongea point sema tu kuna wakati inabidi aongee upupu ili kumridhisha bosi wake
 
Hapana mkuu, jamaa anaongea point sema tu kuna wakati inabidi aongee upupu ili kumridhisha bosi wake

Naye ni njaa kali tu.
yale aliyokuwa akiyafanya wakati yuko nccr sasa ndo anajidai kuwakemea wapinzani.
 
Back
Top Bottom