Wassira: Mbowe ana nini mpaka serikali imtafute?

Yaani habari umeileta wewe halafu umeshindwa kuing'amua.

Wakati alipovamiwa na kupigwa ndugu Kibanda, ni huyuhuyu wasira alihoji kuwa Kibanda ananini cha kuifanya serikali imdhuru, na kwa hili la Arusha anarudia kauli hii hii, hapo unashidwa kujua kuwa anakiri kuwa serikali huwa inawadhuru watu wanaoisumbua?
 
YAya Toure comment yako imenifurahisha sana nimekumbuka ile picha ya mh.... dah kweli kafanana naniliiiiii kweli kabisa
 
Sikilizeni kauli ya candidate wa CCM mwaka 2015. Pumba tupu kama aliyepo madarakani sasa.
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.
 
Huyo hamy d ni shaitwan wa kijani! Ehne! Koleza thread shaitwan jembe la mwigulu!(angalia usije ukawa bwabwa wake!)
 
HAMMY-D,

Kimsingi unakiharibia chama chako. Sasa kama Mbowe alipata kura 600, atawezaje kuchochea watu? HAMMY-D, wewe unaweza kuchochea watu kama umepata kura 600?

And try and dissect the argument Wasira is making. Wasira ana maana kwamba, kama Mbowe angekuwa ni mtu wa muhimu, serikali ingemchukulia hatua? Kwamba serikali huwa ina tabia ya kutumia vyombo vya dola kuwaadhibu watu ambao hawakubaliani nao. Kwamba serikali huwa inaua raia. Wasira anasema serikali huua raia. Lakini kama wewe si wa muhimu, serikali haiwezi kukutafuta. 'Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?' Kumtafuta usifikiri serikali inataka kuonana naye. Hapa Wasira ana maana kwamba Mbowe ana nini mpaka serikali itake kumuua.

Sasa kwa hoja kama hizi HEMMY-D, unakijenga chama cha mapinduzi au unakibomoa? Tena unafanya hivyo hapa JF. Unadhani kuna watu unawashawishi hapa na kuwabadili mitizamo na fikira hapa JF? You are simply wasting your time and causing more damage to your party (which you pretend to defend). Hakuna mtu yeyote anayejua kusoma na kuandika, na mwenye fikra huru anayeweza kukuelewa wewe au Wasira.
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.
Huyo Wasira wako alitaka Mbowe awe na nini? Ni huyu huyu Wasira aliyesema Kibanda ana nini hata wamtoe kucha. Huyu bwana anataka watu wawe na nini ili wawe kamili? Pengine anataka kila mtu awe waziri jambo haliwezekaniki. Haya ni maswali ambayo hayapaswi kutolewa na kiongozi wa ngazi ya Wasira. Kama wewe hamy-d unadhani kwa kuleta uzi huu unamdhalilisha Mbowe ni kwamba umeishia kumdhalilisha Wasira.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nashindwa kujua ni yupi mjinga kati ya hawa ili aeleweshwe ni Wassira au Hamy-D. Au sasa niulize hivi mtu akiuliza swali la kijinga alafu mtu akashangilia kwa kumaanisha kuwa ni swali zuri.Kati ya hao wawili mjinga kupindukia ni nani? Hivi kuna sababu ya mtu kuuliza Mbowe ni nani? Hivi nani asiyemjua ni nani, mbowe ni ndiye anaunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kwa kujitegemea kichama, anauliza mbowe ni nani alafu HAMY -D unaona hilo nila kubebea bango?. HIVI NAOMBA UNIELEZE UMELIWEKA KWA KUMSHANGAA AU KWA KUMAANISHA KUWA AMENENA POINT? NITAFURAHI UKINIJIBU
 
Nadhani hii inaweza kuwa ni mtindio wa ubongo, Huyu huyu alishawahi kusema kuwa hawawezi kumteka kibanda, kwamba kibanda ana nini na akasema kuwa kama ni Mbowe au Slaa hapo sawa wanaweza kuwateka, mara hii ameshasau tayarii ...Masikini!!!!!!
 
Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.

Wengine kila siku tunasema kauli za viongozi wengine ndio chanzo cha matatizo ya amani, hivi matatizo yaliyopo ndani ya Tanzania uonevu uliopo/unyanyasaji locally, mtaani kwetu tu nimekuta watu wanamatatizo kebe unauliza nyie mmefanya abc hili kufwatilia haki zenu au mmeongea na mwakilishi wenu. Wanakwambia hivi kumbe namna zipo hivi hili kuwafikia wahusika, wengine hatukutaka tu kujiingiza kati kuja kunyofolewa kucha bure for nothing.

The point I am trying to make at every corner you turn their are serious local concerns and not addressed by their local leaders nor brought forward to the responsible bodies, those are enough to be exploited by any politician to gain votes trust me i have heard it myself how desperate ppl are kwa hivyo hata fujo zitatokea tu hiwapo watu wata amasihwa hivyo.

Atukatai unyanyasaji wa CCM na idara nyingi kwa sasa kutokana na uongozi legelege uliopo madarakani, lakini kitendo cha viongozi wa CDM kutumia nadharia za kuhamasisha fujo na opportunity zilizojaa za ku exploit local problems, ni ishara tosha asilimia kubwa ya viongozi wa CDM ni vilaza, ukijaza na hawa jamaa wanaokuja kutetea ----- wao humu, bila ya kujali what comes out of their leader mouth, yeah Arusha was a time bomb (may be they too anticipated that maana it doesnt make sense polisi ampige risasi mtoto, sasa mtoto anapiga kura, the motive was to provoke anger and anarchy) tunajua nani wanatumia kauli hizo kila kukicha.
 
post za buku 7 lumumba wewe HONEY-D,una bwana?? alafu huna vyanzo vingine vya mapato mapaka utumike kama c-ndomu hapo lumumba kwa buku 7, sasa hizi post za kipuuzi utamshawishi nani, kama humjui mbowe nenda kawaulize kamati kuu CC, ya CCM, na mwenyekiti wako fast jet" kwanini hawalali usingizi
 
Kibanda ni nani? By Wassira
Mbowe ana nini By Wassira

Haya bana.

.
Ukiona mtu yeyote anauliza swali kwa mwingine kuwa ana nini ujue tu huyo muuliza swali ana ulemavu wa mtindio wa akili. Kwani ukiiuliza hii nyara ya serikali wassira yeye ni nini alicho nacho ambacho Mbowe hana ni nini? Kwa maumbile wote wako sawa ila tu kwa tabia ndio Mbowe anaweza kuwa tofauti na Wassiri mfano hekima, busara na akili ya mbowe huwezi ifananisha na wassira. Mbowe ni mbunifu anaeweza ajiri wengine katika ubunifu wake iwe ni biashara ama siasa. Wassira yeye ni kidampa anaejishikiza kwa wengine kwa kutumwa iwe ni katika biashara au siasa. Wassira anauliza Mbowe ana nini? Ni nini kimewanyang'anya sisiem miji yote mikubwa Tanzania kuanzia Mwanza, Mbeya, Iringa, moshi, Sumbawanga, Moshi na Arusha wanayohanya kuipora kama sii Chadema inayoongozwa na Mbowe? Wasira usijidhalilishe kiasi hiki cha kuruhusu hata watu wasioenda shule ndogo kuuona upumbavu wako.
.
 
Wasira sijui kama anaakili..hajui mbowe ana nini?ndo maana kafanana na naniliiii

Kama watoto wake na mama yao walimkimbia unategemea ana akili gani? Mtu anawezaje kuongoza umma mzima wakati kashindwa familia?
 
Huyu hamy-d namchukia kishenzi. Kwa siku anaanzisha thread zaid ya 6 halaf zote za kipuuz hazna ushahd tena matuc ya ajabu. Yan mods cjui kwa nin wanamuacha. Jaman msiwe mnakoment thread zake, tukfungua thread yke mkikuta ni yeye hakuna kukoment. Mngese sana yani. Cjui hana kazi za kufanya na cjui kaz za maendeleo anazfanya saa ngap coz kutwa anashnda mtandaon anaazisha thread kama 7 kwa siku tena za uchochezi na matusi kwa Dr Slaa na Mbowe. Cjui hana kaz nyngne?

Ni korokoroni wa magamba makao makuu, 24 hrs.
 
huyu mzee ni kilaza sana kipindi cha nyumba alosema serikali haiwezi kumteka Kibanda kwa sababu hana madhara kwa serikali akatolea mfano labda angekuwa dr Slaa au Mbowe
leo tena ameanza kuruka ruka

Zege la choo hilo!
 
nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee wassira kuwa, "mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee wassira pia alisisitiza, "mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

my take;

mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie bavicha ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.

disco jorkey
 
Back
Top Bottom