Wassira: Mbowe ana nini mpaka serikali imtafute?

Wassira hajui kwamba Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema!
Leo ikitokea mbunge wa NCCR,God forbid,kafa kwa kupigwa risasi serikali haita wasiliana na Mbatia kwa sababu hajawai hata kugombea urais au alishindwa kwenye ubunge?

Hivi mtu kama huyu hawezi kujistukia kwamba anaongea pumba.
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.

Kama mtu mzima anasimama mbele ya vyombo vya habari na kuwakama wanae eti kwa sababu wamejiunga na upinzani unafikiri yupo sawa kichwani? Unafikiri atakuwa na akili ya kuona mchango wa viongozi wa vyama vya upinzani katika ukuzaji wa demokrasia?
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.

Your simple a coward
 
Kuna aja ya kufanya utafiti ili kuangalia kama sura ina effect yoyote kwenye akili. Kwani mimi sijawahi kuchukua kitu chochote kutoka kwenye maongezi ya huyu jamaa kama msaada kwa taifa.
 
Huyu jamaa anaandika na "fore limbs" .....Ndivyo wasemavyo Archiologists!
 
Kwa hiyo sirikali imekuwa ikitafuta watu wenye 'nini!' Kauli dhaifu kabisa
 
hivi watu wa ccm,nanyi huwa mnaona mna mtu kweli!wasira...mnakaa na mnajidai mna mtu au tangazo!
 
Ngoja niwamegee hili
Wasira aliwahi kuumwa ugonjwa wa UKOMA
Sasa inawezekana ugonjwa huo ulimwathiri pia na ubongo wake.
Kwa sasa Wasira anakimbizana na muda
Aliahidi kwamba CHADEMA itakufa kabla ya 2015
Muda unayoyoma chama kinazidi kuimarika kinyume na ahadi yake
Sasa anabuni mbinu mbali mbali ambazo zote zinafeli sina haja ya kuzirudia hapa, ni zile zile Uchaga, Ukaskazini, Ugaidi
Lakini hizo zote zimeshindwa, yaani mikutano ya chadema inajaa wakati wao wanasomba watu kwa malori na hadi uwape elfu tano au kumi, vienge, fulana na vikofia juu.
Wakati huo huo wao chadema wanajaza mikutano kwa watu kuifata wakati mwingine kwa watu kutembea umbali mrefu na huku wamebeba vijisenti vya mchango kama wanaenda kanisani au msikititi
Sasa wameanza kuandaa majeshi ya kuvamia mikutano ya chadema kupiga watu na kuwajeruhi ili kutisha watu wasihudhurie mikutano hiyo

Nawasilisha
Kama kuna mtu anabisha Wassira hakuumwa Ukoma aje hapa, na ukoma huo umemuunguza uso na akili pia
 
Hii ID mpya ya lumumba inajituma kweli kuanzisha thread bila shaka atakuwa anaongoza kwa malipo ya buku 7.
 
Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?"..

Tatizo la kukubali Akili NDOGO kuongoza Akili KUBWA. Ukitumia SIMU wiki pedia inaROUNDOFF in 1000, kwahiyo AKILI ndogo akaona ni 600 na kwenda hewani kuropoka.

Tanzanian general election, 2005 - Wikipedia, the free encyclopedia

hay soma hapa!
CandidatesNominating partiesVotes%
Jakaya Mrisho KikweteChama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party)9,123,95280.28
Ibrahim LipumbaCivic United Front (Chama Cha Wananchi)1,327,12511.68
Freeman MboweChama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress)668,7565.88
Augustine MremaTanzania Labour Party84,9010.75
Sengondo MvungiNational Convention for Construction and Reform-Mageuzi55,8190.49
Christopher MtikilaDemocratic Party31,0830.27
Emmanuel MakaidiNational League for Democracy21,5740.19
Anna SenkoroProgressive Party of Tanzania-Maendeleo18,7830.17
Leonard ShayoDemokrasia Makini17,0700.15
Paul Henry KyaraSauti ya Umma16,4140.14
Total Votes11,365,477100.00
Voter Turnout72.4%
Summary of the 18 December 2005 Tanzanian presidential election results
 
huyu nya ni huwaga hata hafikiri anapozungumza mana nakumbuka hata siku zile alisema kibanda ni nani as if ajui chochote na serikali, huyu jamaa useless kabisa
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.
Kah!akili nyingine hizi kazi kwelikweli!!!hapo ndo umeona wassira kaongea la maana saana!!
 
unapomwambia mwenzako aliyetoa maoni aache kutumiwa je wewe unaeandika umetumiwa na nani? haya ndio yanawashinda viongozi wenu hadi wanawatumia
'comment on red' Acha
kutumika wakati ndugu zako wanakufa, ole wao wanafiki maana kwayo
watahukumiwa.
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira leo katika mahojiano ya kipindi cha jambo leo amemjibu Mbowe kufuatia kauli yake ya serikali kuhusika na mashambulizi ya kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa, "Mbowe ana nini kuifanya serikali imtafute?", hapa pia aliongeza yafuatayo, "Mbowe huyu huyu kwenye uchaguzi wa urais 2005 alipata kura 600 nchi nzima, sasa ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza, "Mbowe huna kitu chochote cha kuifanya serikali ikutafute, hivyo uache kuwahadaa watanzania kwa kauli zako za uchochezi, kwani hazina tija."

My take;

Mbowe umekurupuka kutoa kauli ya kipuuzi kuihusisha serikali na suala la mlipuko Arusha, jifunze kuwa kiongozi mwenye subira na hekima, haya mambo ya porojo waachie BAVICHA ila wewe kwa nyadhifa yako una jidhalilisha.

Mbona tamko la serikali halikuwa na subira unayoitaka wewe kwa Mbowe ? Tamko la serikali linahusisha CDM na tukio la bomu ..... Mbona haushangai ... sarikali au mambo ya busara haujayazoea
 
Back
Top Bottom