Wassira amtupia dongo Mwigulu...

Siasa ni kitu kingine na utendaji ni kitu kingine , yeye kama ni bingwa wa porojo anatufaa nini katika maendeleo ya taifa letu, mkaa humu kusifia mtu mwenye propaganda za kijinga hapa

Tunatambua hizo ni porojo kilichovutia ni maneno mazuri aliyoyatoa ukilinganisha na utekelezaji, angalia mchango wangu juu nilichoandika, nipo na mawazo kama yako mkuu (nime-paste nilichoandika juu)

quote_icon.png
By Jodoki Kalimilo
Tumekupata mkuu na mie nilikuwa namwangalia mzee mzima Wasira akiwakilisha, unajua unaweza faulu chuoni lakini ukija uraiani huku utatumiaje elimu yako kuleta mabadiliko mfano mzuri washukuru wao ni wabunge na walipata kazi soon walipomaliza chuo, kuna watu wapo uraiani na wanasema wachumi lakini kichwani hana hata plan ya kufanya shughuli binafsi za kiuchumi. Wasira ila ana kipaji na yeye cha kuwakilisha kama ni mgeni wa nchi hii unaweza sema yote yaliyosemwa yatatekelezwa kumbe hapo kila mpango uliowekwa tayari kuna assumption pembeni ambayo akimaliza tu kusoma wanakaa timu ya ufundi kujadili namna ya kupangua hoja incase kama mpango usipotekelezeka
 
Hahahahaaa huyu jamaa huwa ananifurahisha sana akiwa anaongea maana he is a politician ambaye ofcoz nafurahi akiwa anaongea then nasahau alichoongea akimaliza but i like watching and listening to him

Inaelekea Williama Malecela anamfahamu vizuri Mwigulu. Je, anaweza kutufafanulia zaidi?
 
Wakuu, mi najiuliza, kama kina Mwigulu ndo wachumi wetu daraja la A, sasa hao wa madaraja ya B, C, na D sasa watakuwaje? Au ndo vilaza kama kina mr dhaifu?
 
nimekubali mzee wassira ni gwiji wa siasa za tanzanai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! big up mtu mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

siyo siri toka bunge la bajeti lilipoanza, ccm imefunika sn. chdm angalien mmejikwaa wapi! chdm hoi bin taaban
Hujui unachokiongea,kwani unaweza kutuambia ni lini cdm waliifunika ccm bungeni,na kwanini? cdm wabunge wake ni chini ya asilimia 25 ya wabunge wa ccm pekee.Wewe kwako umeona ni suala la kujivunia kwa ccm kuwafunika cdm,na kwanini usiseme ccm imewafunika upinzani. Kwa upande mwingine nakubaliana na wewe kwamba kwa uchache wa wabunge wa cdm,basi wabunge wa ccm huwafunika kwa kelele na matusi.
 
Kufanya maamuzi mazito ni wakati wowote huo ni uongo eti ukiwa umekasirika hautasaidia taifa.Maamuz ni hatua za msingi zinazotekelezwa kwa ajili ya kutatua matatizo.Haiwezekani nisubiri nifurahi ndiyo nifanye maamuzi.Maamuz yasiyofaa kufanya ukiwa umekasirika ni ya ndani ya ndoa tu(hata hapa kuna wakati lazima uamue ukiwa umekasirika tena sana).Maamuz ya kitaifa yafaa kufanywa katika hali zozote zile.Mungu anasema hasira ya mwanadamu haitendi haki ni katika matendo ya kumtendea binadamu mwenzio si kulitendea taifa.Mungu mwenyewe hufanya maamuz akikasirika na akifurahi iweje mimi mtanzania ambaye tangu nitambue umuhimu wa maji sijawah kuona kisima wala bomba la maji kijijin kwetu tunakunywa maji ya kwenye vidimbwi hakuna kitu hata kimoja ilichowahi kufanya juu ya kijiji chetu halafu niwe na furaha.Hasira wengi wamesema ni hasara ila hakuna anayethibitisha nini ungepata kama usingekasirika dhidi ya tatizo lililokupata mfano unaona mwanao anafanya makosa ufurah tu nini kitatokea?Maamuzi yote ni ya muhimu na hii propaganda ya A haitakusaidia au itakusaidia ni mbaya.Mara nyingi inasaidia sana hasa kwa Tanzania ni kipimo cha uelewa.Ila mwenye hiyo A anaweza kuathiriwa na itikad nje ya taaluma maana ukiingiza kubeza watu kwa taaluma yako eti hawajui kisa hawakusomea hiyo fani ni makosa.Toa mawazo yako usiponde ya watu ongea yako jipambanue kwa hoja unajua nini ongea unachojua siyo lazima useme wenzio hawajui kisa hawajasoma fani fulani..
 
Well said

Daaaaaaah well said ? i thought is well done yalisha semwa sana hayo au hujasikiliza bajet iliyopita na mtizamo wao wa kuiinua reli ? Yaaani hali ndio imekuwa mbaya kuliko kabla .tujaribu kuwa makini na ufuatiliaji wa hizi bajet au kama jambo hulijui bora tukae kimya. Duuh watanzania bana. Agrrrrrrrrrrr
 
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
Sasa wewe mzee Stephen Wasira siku nyingine ulikuwa wapi? mbona kumbe tu siku nyingine huwa una pointi nzuri kabisa za maendeleo? sasa huu u.......*******...... huwa unatoaga wapi? big up mkuu. kwa mara ya kwanza tangu nkufahamu leo nimekupa five zote za kulia.
 
mia nimeisikia pia. Wana jf ikumbukwe wiki iliyopita Mwiguru Nchemba wakati akichangia alijitamba wazi kuwa,kuna watu ni wanasheria wajadili mambo ya uchumi,wengine ni wataaramu wa mambo ya disco wanajadili uchumi.ndo akasema yeye ni mwanauchumi daraja la kwanza na amefanya kazi pale BOT.
syllabus aliyosoma ni ile jinsi ya kushirikiana na mafisadi kuiba benki kuu. kwasababu hili ndilo walilofanikiwa wachumi daraja la I na wale waandamizi. kama HIZO A NI za kuwaibia watnaganyika basi Mwigulu si kuwa alipata A lakini A ya 99 kama sio 100%
 
syllabus aliyosoma ni ile jinsi ya kushirikiana na mafisadi kuiba benki kuu. kwasababu hili ndilo walilofanikiwa wachumi daraja la I na wale waandamizi. kama HIZO A NI za kuwaibia watnaganyika basi Mwigulu si kuwa alipata A lakini A ya 99 kama sio 100%
Hivi sio nasikia yule mshikaji alikuwa BOT wakati wa wizi wa EPA?
 
We ndo bure kabisa, yani na mimali yote hii bado unatetea kukopa, na neno lenu la kipuuzi, eti tunakopesheka, shame on you
 
Back
Top Bottom