Wassira amtupia dongo Mwigulu...

Wassira amtupia dongo Mwigulu...

Wassira anapenda sana madaraka na anayatumia vibaya madaraka wewe unasemaje ? Ushahidi ninao mimi alipo mtishia jamaa wa KJ Motors na kumwambia atamtambua akisha kula kiapo kama waziri na hapo ilikuwa kabla hata ya kampeni.
Dah Wasira as a person ana mapungufu mengi sana ambayo kila binadamu anayo ila nimesema hapo awali kwamba when it comes to political dialogue i admire him coz hata kama anaongea uongo anaweza kukuconvice ukakubaliana na uongo wake. Ni kama leo amesoma tention iliyokuwepo baina ya pande mbili na akaamua kujaribu kupoza moto politically (Hii haimaanishi amefanya mpango na bajeti kukidhi vigezo nooo but amejaribu kuwa mtu mzima kwenye kundi la watoto)
 
2015 inakuja...wananchi ndio wataamua wampe ubunge mtu mwenye darala la kwanza la uchumi au vipi
 
well said, Jk kapata mshauri lakini pia ukimsikiliza wassira kwa makili leo bungeni anaonyesha akiwa kwenye vikao vyao hakopeshi mtu......

Hamna kitu hapo hata wewe huwa unaongea, tatizo utekelezaji. Unakopa ili iweje? kama unakopa harafu unashindwa namna ya kupunguza hilo sawa sawa na sifuri. Mwisho utatangazwa mufilisi.
 
2015 inakuja...wananchi ndio wataamua wampe ubunge mtu mwenye darala la kwanza la uchumi au vipi
Moja ya watu wenye matatizo makubwa kabisa kwa mwaka 2015 ni Wasira mwenyewe huko jimboni kwake maana kuna mtu alikuwa mpambe wake wakati wa uchaguzi uliopita lakini juzi naye naona kamruka na ndio maana alipata wakati mgumu sana hivi majuzi alipokuwa huko.
 
Kuna kitu nimekiona kwa Wasira, ukikaa naye face to face mkalumbana politically humuwezi hata kwa namna gani. The guy is a real politician. Sikiliza kama ataongelea ile issue ya uchumi wa Africa kukua kwa average ya 2% (kama alivyosema yeye) wakati the least performed country ilikua kwa more than 3%. Hii hawezi kuisema kwasababu anajua alibugi

Hiki ni kile kizazi kilichokuwa kinapalekwa kusoma siasa USSR na China enzi za miaka ile ya Chama Kushika Hatamu; na enzi hizo watu walikuwa wanapikwa kweli; unakuwa na imani na Chama kama ya dini; hata kuapa unaapa kwa Katiba ya Chama au ya JMT.
 
Hiki ni kile kizazi kilichokuwa kinapalekwa kusoma siasa USSR na China enzi za miaka ile ya Chama Kushika Hatamu; na enzi hizo watu walikuwa wanapikwa kweli; unakuwa na imani na Chama kama ya dini; hata kuapa unaapa kwa Katiba ya Chama au ya JMT.
Hahahahaaaa kwani ilikuwa haitoi nafasi ya flexibility?
 
wassira kakataa kifo kinachotokana na wenye malori kuhujumu reli amewaambia wauze malori yao kwani mwakyembe anakuja kwa kasi kujenge reli ili reli zijengwe kuokoa barabara kutokana na mizigo mizito kama shaba au chuma ambavyo havibebwi na barabara....

amesema wenye malori wanataka kutuuwa kwa ajili ya faida yao kasema kifo hicho hakikubali wafe wao.

Hivi huu ujumbe unawahusu na hawa wafuatao?
Dalbit
Lake oil
Primefuels
TSN

Au amesema kufurahisha baraza la kahawa?

Unajua siku hizi bunge ni la vioja na sio hoja.
Usije ukawa ni muendelezo wa hivyo vioja badala ya hoja!!!!!!!!!!!!!!

Leo jioni utasikia Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Halafu watarudi february mwakani wanalia hela za wafadhili hazijaja na hivyo hiyo miradi ya maendeleo imeshindikana.
Itakuwa another session ya vioja

Tanzania kwa vioja. we acha tu. Natamani tumpeleke mzee yusuph bungeni kwenye viti maalum ili baada ya vioja atutumbuize na mipasho kidogo.
 
wassira kakataa kifo kinachotokana na wenye malori kuhujumu reli amewaambia wauze malori yao kwani mwakyembe anakuja kwa kasi kujenge reli ili reli zijengwe kuokoa barabara kutokana na mizigo mizito kama shaba au chuma ambavyo havibebwi na barabara....

amesema wenye malori wanataka kutuuwa kwa ajili ya faida yao kasema kifo hicho hakikubali wafe wao.

Jamani lazima muwaelewe wanasiasa ni wanasiasa tu. Wasira alianza kuwa waziri lini? tangu awamu ya kwanza. Amefanya nini tangu wakati huo? Kwa nini iwe sasa? Kwa kifupi huyu bwana ni mwanasiasa mzoefu kwa hiyo anajua kucheza karata vizuri. HII NI SIASA NA MWANASIASA MZURI ANAJUA KUCHEZA NA SIASA - FULL STOP.
 

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, mzee ameongea PWENTI za nguvu sana leo bungeni, kama aliyosema yakiweza kufanikiwa hata kwa kiasi basi atakuwa amefanikiwa.
 
well said ......mzee wassira kawarejesha wapinzani kwenye mstari.

anasema kukopa sio kosa kosa ni namna unavyotumia mkopo, hata nyerere alikopo akajenga vyuo vikuu ambavyo sisi tumesoma na tunahitajika kulipa alichokopa mwalimu na sisi tukikopa tukajenga daraja kama la kigamboni na maragalasi hakuna matatizo vizazi vijavyo kulipa kwa maendeleo tuliwaletea.....akasema ni muhimu tukaangalia na kuzingatia mkopo unapelekwa wapi badala ya kuhamasisha kwamba tusikope na amekaataa kuelekeza mikopo kwenye vitafunio kwamba hilo ni kosa.

sidhani kama wapinzani na hasa watu makini kama Zitto hawajui umuhimu wa kukopa na kwamba wanapinga serikali kukopa. walichotaka ni uainisho wa hela za mkopo kama zinatumikaje. sambamba na hilo unaweza kukopa kufunika uzembe katika kukusanya kodi na kujenga mapato ya ndani. Mkapa na lowassa walivuta maji toka lake Victoria sio kwa kutumia mkopo. Unaweza kukopa na wakati huohuo ukaruhusu matumizi mabaya ya mapato ya ndani - hii huitwa FUNGIBILITY nayo ikawa sawa na kukopa kulipana posho na kulipia chai ya saa nne. ni vizuri kuainisha matumizi ya hii mikopo na kuiweka wazi kwa wote.
 
Ki ukweli mh.wasira ni wa ukweli na kwa kuwa ni mkweli atatufaa sana siku zijazo mungu anzidishie afya njema na busara itawala maisha yake,amina.
 
Wassira ni kichwa kwa aliyotoka kumweleza zitto hivi punde kuhusu bajeti hata zitto anaonekana na wapinzani wako karibu kukubali..... tuendelee kufuatailia.

Mungu hawezi kukunyima sura na akili kumbe wassira kajaliwa akili.
.



Hana akili gan? yakulala bungeni au kuongea kwa jazba, ana lolote
 
hawa wanafanya maigizo, mtu anaepata A na kuitangaza ujue hakustahili kuipata hiyo A na imemstua. huenda alibahatisha au aliipata kiaina. ndo maana anaitangaza.Mtu mwenye A kihalali hawezi kusema asiyejua kuandika bajeti ana mapepo na aombawe.
 
Kwanini Wasira asiwe waziri wa Malia asili na Utalii .....yuko makini wanyama Gombe watakuwa salama hata Qatar hawatapelekwa tena
 
.



Hana akili gan? Yakulala bungeni au kuongea kwa jazba, ana lolote

si kila wakati binadamu macho yake yako wazi,hivyo kulala vile ni sehemu mojawapo ya kutafakali jambo na ni seheumu nzuri kuupumzisha ubongo,jazba huja tu pale panapohitaji onyo,kukanya ama kusisitiza jambo ambalo si mara moja limekuwa......
 
Nadhani ndio maana JK amemvuta karibu yake ili apate nondo zake za kumtia moyo

Siasa ni kitu kingine na utendaji ni kitu kingine , yeye kama ni bingwa wa porojo anatufaa nini katika maendeleo ya taifa letu, mkaa humu kusifia mtu mwenye propaganda za kijinga hapa
 
Back
Top Bottom