EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
- Thread starter
- #21
Kweli kabisa mkuu Theory is a very different thing from uhalisia kivitendoTumekupata mkuu na mie nilikuwa namwangalia mzee mzima Wasira akiwakilisha, unajua unaweza faulu chuoni lakini ukija uraiani huku utatumiaje elimu yako kuleta mabadiliko mfano mzuri washukuru wao ni wabunge na walipata kazi soon walipomaliza chuo, kuna watu wapo uraiani na wanasema wachumi lakini kichwani hana hata plan ya kufanya shughuli binafsi za kiuchumi. Wasira ila ana kipaji na yeye cha kuwakilisha kama ni mgeni wa nchi hii unaweza sema yote yaliyosemwa yatatekelezwa kumbe hapo kila mpango uliowekwa tayari kuna assumption pembeni ambayo akimaliza tu kusoma wanakaa timu ya ufundi kujadili namna ya kupangua hoja incase kama mpango usipotekelezeka