Hahahahaaa huyu jamaa huwa ananifurahisha sana akiwa anaongea maana he is a politician ambaye ofcoz nafurahi akiwa anaongea then nasahau alichoongea akimaliza but i like watching and listening to him
as kivutio cha utalii
Hahahahaaa huyu jamaa huwa ananifurahisha sana akiwa anaongea maana he is a politician ambaye ofcoz nafurahi akiwa anaongea then nasahau alichoongea akimaliza but i like watching and listening to him
Hahahahaaaa kwani ilikuwa haitoi nafasi ya flexibility?
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
Siasa ni kitu kingine na utendaji ni kitu kingine , yeye kama ni bingwa wa porojo anatufaa nini katika maendeleo ya taifa letu, mkaa humu kusifia mtu mwenye propaganda za kijinga hapa
Amwambia kupata A hakuna maana ila namna gani unaitumia hiyo A .............
mia nimeisikia pia. Wana jf ikumbukwe wiki iliyopita Mwiguru Nchemba wakati akichangia alijitamba wazi kuwa,kuna watu ni wanasheria wajadili mambo ya uchumi,wengine ni wataaramu wa mambo ya disco wanajadili uchumi.ndo akasema yeye ni mwanauchumi daraja la kwanza na amefanya kazi pale BOT.
siasa ni kitu kingine na utendaji ni kitu kingine , yeye kama ni bingwa wa porojo anatufaa nini katika maendeleo ya taifa letu, mkaa humu kusifia mtu mwenye propaganda za kijinga hapa
zile propaganda za kielevu zi wapi? Ebu tuwapatie haki wale wenye kuistahili haki,heshima wenye kuisthili heshima,kiukweli wassira is da best.sawa tutapinga lakini ukweli utabaki palepale.hivi kumkanya yule mh. Aliyejitapa kwa "a" score ni ujinga?
A ya Nchemba ni ya kudesa tu hana lolote.
haaaaa!Wassira ni kichwa kwa aliyotoka kumweleza zitto hivi punde kuhusu bajeti hata zitto anaonekana na wapinzani wako karibu kukubali..... tuendelee kufuatailia. Mungu hawezi kukunyima sura na akili kumbe wassira kajaliwa akili.