Wassira amjibu Lazaro Nyalandu!

Wassira amjibu Lazaro Nyalandu!

JK alivyokuwa wa ajabu,utasikia leo akimpandisha cheo na kuwa waziri kamili!

Tusubiri hiyo saa 5 atakapokuwa akiongea na waandishi wa habari Ikulu.

Na sasa nyie mnamshangilia huyo huyo
Ha ha haaaaaa
 
Wasira ukitaka kumpandisha au kumshusha sukari mtajie tu Esta Bulaya sawa na kijitaji yanga Kichuya.
 
Wizi mtupu na uongo mtupu tunaenda wapi? Mkulu atafanyia kazi amesikia watu wake wamemwambia.
 
Sasa Bw. Nyalandu kamaliza mzunguko (full cycle). Anachotaiwa kufanya kwanza ni kuomba radhi na kueleza kilichotokea kwenye ile operesheni, suala la ujangili wa wanyama pori wetu na madudu mengine ambayo propagandists wa CCM wataweka humu na kwingineko, asikae kimya.

Namshauri Bw. Nyalandu asiogope wala kusita (baada ya kuomba radhi) kuweka kila kitu peupe sasa, kama sehemu ya toba na kushadihisha tamko lake la kujiuzulu ubunge na nyadhifa zake CCM leo tarehe 30 Oktoba 2017.
 
Usisahau tu kuwa hana nafasi tena ya kuongea na watu
 
Haya leo Nyalandu kawa Mtamu
Kweli Tanzania imejaa Vibendera
 
Sasa Bw. Nyalandu kamaliza mzunguko (full cycle). Anachotaiwa kufanya kwanza ni kuomba radhi na kueleza kilichotokea kwenye ile operesheni, suala la ujangili wa wanyama pori wetu na madudu mengine ambayo propagandists wa CCM wataweka humu na kwingineko, asikae kimya.

Namshauri Bw. Nyalandu asiogope wala kusita (baada ya kuomba radhi) kuweka kila kitu peupe sasa, kama sehemu ya toba na kushadihisha tamko lake la kujiuzulu ubunge na nyadhifa zake CCM leo tarehe 30 Oktoba 2017.
Namuona mzee msomali kwa mbaaaaliiiii,, km nyarando atakohoa kusema mshirika lkn km ni CIA km inavyosadikika huwenda akafa kiume,
 
Na sasa nyie mnamshangilia huyo huyo
Ha ha haaaaaa
Tunashangilia hoja alizotumia kuondoka CCM. Ni wajinga, wanaofaidi makombo peke yao ndio wanaweza kubaki CCM, rudi kwenye hoja alizozitumia. wako wengi wanasita kuondoka kwa sababu ya woga na makombo, basi!
 
------ hana tabu na vile ndio kabatizwa jina la Vasco Dagama hana mpango endelevu juu ya sector hii..... Bado tuna mwaka 1 na miezi 9 ya kuendelea kulia na huyu ------.
Hahahah! Sasa hivi mnacheka na huyo?
 
Na sasa nyie mnamshangilia huyo huyo
Ha ha haaaaaa
inasemekana Nyalandu then alikuwa akitekeleza maagizo ya taasisi aliyokuwa akiitumikia wakati ule - yaani CC ya NEC (CCM).
kama Lowassa kwenye Richmond alivyokuwa akitekeleza maagizo ya mwajiri wake cabinet ya CCM.

aliyeoza na ambaye anaambukiza uozo kwa waliomo ndani yake ni CCM!
 
Mmmmmh
Acha uwongo sababu sio toka awamu hii
Jimbo yake hapati tena imetoka hiyooooo
 
Back
Top Bottom