Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.
My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
chuki uko sawa sana wasira ndo kiongoz pekee mwenyeuwezo wa kukemea jambo ambalo haliendi sawa kwa maslahi ya taifa Hususani ufisadi bila kupepesa macho
Wasira hajawahi kuhusishwa au kutuhumiwa kwa ufisadi. Ni kiongozi safi na mwenye uwezo Wa kukemea Rushwa kwasababu hana nasaba nayo.Wassira na Lowassa hawana tofauti yoyote wote ni majambazi kinachowafanya waonekane kuwa wako tofauti ni kwamba mmoja ni mpigaji mwingine ni mbeba mizigo wanapokuwa mstari wa mbele.
Ndio maana Wassira kang'ang'ana na CCM wakati anajua kabisa kuwa chama hicho kina mbwa mwitu kibao.
Wasira hajawahi kuhusishwa au kutuhumiwa kwa ufisadi. Ni kiongozi safi na mwenye uwezo Wa kukemea Rushwa kwasababu hana nasaba nayo.
baada ya kumfuatilia kwa karibu nimegundua wassira pia ni miongoni mwa majiniasi wachache wa kisiasa hapa nchini.
anasema kile anachokiamini ingawa sio tiketi ya kuwa mkuu wa nchi bali anafaa kuwa mshauri wa karibu wa kisiasa wa kiongozi wa chi.
ana akili kubwa. Ila Magufuli akiwa shaped na refined vizuri na kuzungukwa na watu sahihi. kwa maoni yangu Miaka mitano inamtosha kutupa dira iliyopotea na kuweka misingi imara kwa tanzania ninayoiona katika ndoto.
we need someone who can translate political promises into tangible realities. Kwa maoni yangu tanzania nzima huyu jamaa japo kwa kupapasa ameonyesha practically bila kuwa na nia yoyote ya kujipendekeza kisiasa kwa wananchi kuwa anakitu katika bongo yake.
Bill Gate tumefurahi kukuona humu, kumbe na wewe una akaunti JF? Haya ngoja tukujuze bosi.
Huyo ndio Rais Mtarajiwa ambaye atadhibiti mianya ya Rushwa na Ufisadi, yeye ni Mwadilifu mwenye msimamo.
Mabepali matapeli kama wewe kaeni tako moja maana mwisho wenu ni huu.
www.stephenwasira.co.tz
Utamjua tuu.
Sijakuelew unamaanisha alipopitiliza kwenye gwaride taifa au?
Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.
My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa
In terms of recent trends in policy implementation, PEDP and SEDP have dramatically expanded access to primary and secondary education. At primary level, the Gross Enrollment Rate increased from 78 percent to 112 percent between 2000 and 2006.31 Actual enrollment grew by over 60 percent, up from 4.4 million in 2000 to well over 7 million in 2006.32 Expansions in access to secondary education have been even more dramatic. For example, 401,011 students were enrolled in the first year of secondary school in 2007, up from 148,412 just two years earlier. These numbers far exceeded SEDP projections and likely resulted from the impact of two related directives issued by former Prime Minister Edward Lowassa, namely to build a secondary school in each ward and to enroll 75 percent of those who pass the primary education examinations.
Wasira ni jasiri haogopi kusema ukweli,kama Nyeupe ni Nyeupe, hajawahi kuwa mnafiki.
Ndio maana Watanzania wanamhitaji awe Rais wao.
Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai.
My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa
Chadema itakuja ikifika 2014. Sentensi hii ni ya wassira 2013. Je haina utata?Wasira ni mwanasiasa makini hajawahi kuwa na sentensi zenye utata katika mambo muhimu.
Isije ikawa Mwandishi kamnukuu vibaya akaandika kwa nia ya kuwachonganisha.
Inajulikana sasa ndani ya CCM mjadala mkubwa ni Wasira na Lowasa. Mmoja kati yao ndio Rais.
Si wamalizane taratibu kidogo...Mh.Wasira ameonesha kukerwa na propaganda zinazoenezwa na Lowasa na wapambe wake juu ya ujenzi wa shule za kata.Mwananchi limeripoti kuwa Wasira amekemea kuwa sera hiyo ilikuwa sera ya CCM mwaka 2005 na ni uongo kuwa ilikuwa wazo la Lowasa kama anavyodai. My Take:Lowasa, umimi wenu utaliangamiza taifa