Wasomi wetu watakwenda wapi? serikali haiwezi kuwaajiri.Athari ya mfumo mbovu wa elimu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasomi wetu watakwenda wapi? serikali haiwezi kuwaajiri.Athari ya mfumo mbovu wa elimu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by antendembaga, Dec 29, 2011.

 1. a

  antendembaga New Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha idadi kubwa ya wasomi ama wahitimu wa viwango mbalimbali vya elimu wamezagaa mitaani na kuwa ombaomba.Hali hii inatokana na serikali kushindwa kuwaajiri.Tatizo ninini? jibu ni rahisi,mfumo wetu wa elimu unategemea wasomi waajiriwe na serikali tu.Twaelekea wapi sasa? nini tufanye kunusuru hali hii.Nadhani hili ni bomu jingine la kujitakia.Tusubiri tuone......
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,630
  Likes Received: 1,990
  Trophy Points: 280
  kuna mchangiaji humu amesema hivi: wenzetu Kenya graduates hawawazii huo upuuzi wa kuajiliwa! Ni sisi tu watanganyika tunaoamini graduate hawezi kufungua kijwe cha kubrash na kushona viatu.
   
Loading...