Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,534
- 41,280
you said it right huwezi kuwa udsm alumni halafu ukaja na hoja ya kijinga kama hii
kama mwalimu wake ni dr bana mwanafunzi mnamlaumu nini kwa kuwa na uelewa huo.
you said it right huwezi kuwa udsm alumni halafu ukaja na hoja ya kijinga kama hii
tehe tehe, enhee?
Rudia tena mara ya pili na hata ya tatu haop kwenye wino mwekundu, hivi ulitaka kusemaje?Nipo katika mazingira ambayo huwa naona kazi za hawa vijana wa chuo kikuu cha DSM mara kwa mara. Kiukweli misingi yao ya kielimu ni mibovu. Assinment wanazopewa huwa wanapata shida sana kuzijibu kiufasaha, hasa kiingereza kinapohusika. Kiingereza chao ni kibovu mno. Aghalabu sisi wabongo huwa tunajua zaidi kingereza cha kuandika kuiko cha kuongea, lakini kwa hawa vijana wetu ni tabu tupu. Huwa najiuliza hao walimu wao wanaposoma kazi zao huwa wanakuwa katika hali gani.
NB: Nami pia ni alumni wa UDSM
ni kweli ,vyuo vikuu ni lecturing,lakini mimi naona kwa mtazamo wangu, lecturing ni mfumo wa tangu enzi hizo za industrial age kumuandaa mwanafunzi kuajiriwa,now tupo kwenye infomation age,nabidi haya mfumo wa lecturing ukaribiane na mfumo wa teaching ili mwanafunzi ambae ni mteja apate huduma bora,,na mkufunzi aweze kujivunia kutoa wanaunzi bora. pia mfumo wa elimu ya secondary sijaukubali sana,kwani wanafunzi tulisoma ili tufaulu tu.tulisoma kutumia maswali na majibu,tuition za mchikichini za kusomea necta tu, sasa hi haitakiwi,inabidi mwanaunzi awe fit kwa kuelewa,mtihani isiwe kikwazo choochote kwa kuwa kaelewa.Danp36 nashukuru kwa uchambuzi wako. nimezungumzia udsm zaidi kwa kuwa niko karibu nao zaidi. kwa kuwa pia ndio chuo darasa kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali. lakini wa kulaumiwa hapa zsidi si hawa wahadhiri bali shule walizotoka kwa maana vyuo vikuu ni lecturing zaidi ya teaching
UDSM Ni shida.
Si tu kiingereza, kama walikuwa vizuri (ETI DIVISION ONE) kwa nini viGPA vyao viwe vya kulenga kwa manati?????
Khaa!! Basi China itakuwa inaongoza kwa kuwa na wasomi ambao ni shida :glasses-nerdy:Nipo katika mazingira ambayo huwa naona kazi za hawa vijana wa chuo kikuu cha DSM mara kwa mara. Kiukweli misingi yao ya kielimu ni mibovu. Assinment wanazopewa huwa wanapata shida sana kuzijibu kiufasaha, hasa kiingereza kinapohusika. Kiingereza chao ni kibovu mno. Aghalabu sisi wabongo huwa tunajua zaidi kingereza cha kuandika kuiko cha kuongea, lakini kwa hawa vijana wetu ni tabu tupu. Huwa najiuliza hao walimu wao wanaposoma kazi zao huwa wanakuwa katika hali gani.
NB: Nami pia ni alumni wa UDSM
Maskin hujajua kwingine kukoje. ...Nipo katika mazingira ambayo huwa naona kazi za hawa vijana wa chuo kikuu cha DSM mara kwa mara. Kiukweli misingi yao ya kielimu ni mibovu. Assinment wanazopewa huwa wanapata shida sana kuzijibu kiufasaha, hasa kiingereza kinapohusika. Kiingereza chao ni kibovu mno. Aghalabu sisi wabongo huwa tunajua zaidi kingereza cha kuandika kuiko cha kuongea, lakini kwa hawa vijana wetu ni tabu tupu. Huwa najiuliza hao walimu wao wanaposoma kazi zao huwa wanakuwa katika hali gani.
NB: Nami pia ni alumni wa UDSM