Wasomi wanafunzi na kazi za ughaibuni!

Wasomi wanafunzi na kazi za ughaibuni!

Unachukulia tu ni kama chellenge ktk maisha
 
lakini jamani si ndio raha ya udaku na utani???
 
Yap ! I got you
Mkuu uko sahihi, inaonekana jamaa kasimuliwa hadithi ya uongo halafu kaileta hapa. Norway kwenye hizo 'sykehjem' huwezi kufanya kazi kama 'Norsk' haipandi. Lakini kikubwa zaidi ninavyowajua wanorway ni ngumu mtu kukudharau kwa kazi unayofanya, unaweza kudharaulika kwa rangi yako lakini sio aina ya kazi unayofanya kwani Norway hata hizo kazi chafu zinalipa vizuri.
 
Back
Top Bottom