kepler telescope
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 904
- 599
Yu bukheri wa afya. Ila mshiriki wake kisiasa aitwaye Jidu La Mabambasi aliishafariki kitambo. We ni mzuka wake au ...?Hivi Cheyo yuko hai?
Yu bukheri wa afya. Ila mshiriki wake kisiasa aitwaye Jidu La Mabambasi aliishafariki kitambo. We ni mzuka wake au ...?Hivi Cheyo yuko hai?
Hoja yako nini Jidula?Kwa hiyo ameresti in pisi huko Bariadi?
swali la msingi ni kwamba hiki cheo kiko katika katiba ya CHADEMA?Umefeli wewe unaebisha kwa sababu hujui. Sumae ni mkazi wa Kibaha. Kumbuka historia, Nyerere na Kambona waliingia Legislative Council kupitia Morogoro (1959), Mrema aliwahi kuwa Mbunge Vunjo-CCM halafu Temeke -NCCR. Hilo ndilo lako na Lumumba wengine.
Huyu Mr Zero hata aibu na soni hana!Ma- Prof wetu hebu wajitole kuja kufundisha A level ndiyo nita afikiana nao “Former Prime Minister” kwa miaka 10 mfululizo kuja kugombea uwenyekiti wa kijiji (kanda) cha Pwani
Amazing!![]()
Ndio, Mwenyekiti wa kanda hiyo alikuwa Mabere Marando.swali la msingi ni kwamba hiki cheo kiko katika katiba ya CHADEMA?