Wasomi wamfagilia Sumaye uongozi Pwani

Wasomi wamfagilia Sumaye uongozi Pwani

...nina shaka kwanza kama ni kweli...huyu sumayi ni mtu ambae ktk siasa za alikotoka, ukiacha zali la "kufanyishwa"(na sio kuwa) waziri mkuu, hana chochote alichofanikiwa kisiasa.....kimbunga cha Mary Nagu, kilishampeperusha...ah! Chambilecho Peter Tosh..."just brand new, second hand!"
Ni kwa kuwa tu una chuki na Sumaye au chama alichoko sasa, kujaribu kumdhihaki Sumaye katika uongozi ni kumdhihaki moja kwa moja Mzee Mkapa. Sumaye ndiye ana rekodi ya kuwa waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo tangu mfumo wa vyama vingi uingie nchini. Kama kuna mafanikio yoyote katika uongozi wa Mkapa basi Sumaye anahusika sana, vinginevyo mtueleze hapa kuwa awamu ya tatu haikuwa na mafanikio hata chembe! Na ukumbuke baadaye akiwa hayuko madarakani Sumaye alienda kujifua Harvad, kwanini usijaribu kumtendea haki kwa kumpa muda katika nafasi hiyo ambayo wanachama wenzake wa Chadema wameona inamfaa?

Suala la Mary Nagu Mzee Sumaye ameliongolea sana. Ungekuwa unajadili jambo hili ukiwa fair ungeweza kukumbuka kwamba miongoni mwa mambo ambayo alikuwa akilalamikia sana ni namna "mchezo mchafu" ulivyokuwa ukichezwa katika kupata viongozi ndani ya CCM katika miaka ya karibuni. Kabla ya kumdhihaki mzee Sumaye ungetafuta kwanza ukweli wa kile kilichofanyika kwenye uchaguzi ambao wewe umeubatiza hapa kuwa ni "Kimbunga cha Mary Nagu kilimpeperusha". Btw, kama Sumaye ni "second hand" hebu tusubiri athibitishe mwenyewe katika nafasi hiyo!
 
hao wasomi wangezungimzia pia kipindi sumaye alipokuwa waziri mkuu, alifanya nn
 
Dar es Salaam. Wasomi nchini wamesema iwapo Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, atasaidia kukijenga chama hicho cha upinzani nchini, kuanzia ngazi ya chini.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti walisema jana kuwa Sumaye ambaye juzi alirejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo, katika ofisi za kanda hiyo Dar es Salaam, akitumia uzoefu alionao kiuongozi, atakuwa msaada kwa chama hicho.

Walisema uamuzi huo umeonyesha kuwa hakuhamia CHADEMA kwa masilahi binafsi.

Profesa George Shumbusho wa Chuo Kikuu cha Mzumbe alisema: “Inaonekana (Sumaye) ana lengo la kusaidia upinzani ukue. Kwa mchango na uzoefu wake serikalini ataisaidia sana CHADEMA maana chama lazima kiwe na nguvu kuanzia ngazi ya chini.”

Sumaye ndiye Waziri Mkuu pekee katika historia ya Tanzania kushika wadhifa huo kwa miaka 10 baada ya kuwa msaidizi wa Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kati ya mwaka 1995 hadi 2005.

Agosti mwaka jana, Sumaye aliyekuwa kete muhimu katika kampeni za aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutokana kuikosoa Serikali na kuwataka Watanzania kutoichagua CCM, alitangaza kuachana na chama hicho tawala na kujiunga na upinzani.

Shumbusho alisema ameonyesha kuwa yeye siyo aina ya wastaafu wanaopenda sifa na hakwenda kusaka ulaji CHADEMA huku akibainisha nchi ikiwa na upinzani imara, chama kilichopo madarakani hugangamala.

Profesa wa Chuo Kikuu cha Ruaha, Gaudence Mpangala alisema: “Alijiunga (Sumaye) na upinzani unaohitaji viongozi kila siku. Yeye kuwa kiongozi ni jambo sahihi zaidi.”

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Hamad Salim alisema uamuzi aliochukua Sumaye ni haki yake ya kikatiba, licha ya kuwa watu watamkosoa kutokana na nafasi aliyokuwa nayo awali.

“Wapo wanasiasa wanaohama kwa masilahi binafsi, pili chama tawala huwa na mtindo wa kuwatumia makada wake waliohamia upinzani na mtu anaweza kuhama chama kwa ajili ya kwenda kukijenga chama kingine.

Kama Sumaye lengo lake ni kuijenga CHADEMA hatua aliyochukua ni sahihi,” alisema.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Richard Mbunda alisema: “Anaonekana siyo mtu wa kutaka masilahi. Wakati wa kampeni alisema anataka kujenga upinzani, alichokiamua sasa ni wazi anataka kuwaonyesha Watanzania kuwa anaishi katika maneno yake.”
Hao wasomi walete kwanza vyeti vyao vya form four!
Hawawezi kumsifu Sumaye kwa jambo ambalo halina msingi wowote!
Yaani mzee ameshastaafu anaenda kugombea nafasi na wanae!
 
Nchi hii tuna wasomi koko wa kutisha.Msomi huenda na ushahidi wa takwimu kabla ya kuongea.Msomi haongei kama mlevi tu wa kiroba bila takwimu.

Sumaye mkoa wa Pwani hajaingiza hata mwanachama mmoja mpya wa CHADEMA !!!! wanaoitwa wasomi tayari wameshaibuka eti ooooh atasaidia kujenga chama kuanzia chini!!! Kazi ipo kuwa na wasomi wa aina hii ni aibu.Ningekuwa nasoma kozi wanayofundishha nigehama na kubadilisha kozi.

Kuotoka waziri mkuu hadi mwenyekiti wa kanda ni sawa na kumkuta mwamnyange kwenye KKK SECURITY halafu unaona hayo nimbo mazuri ya kuigwa
 
hao wasomi wangezungimzia pia kipindi sumaye alipokuwa waziri mkuu, alifanya nn
Hii habari ingeletwa na mtu mwingine zaidi ya huyu nguli wa kuleta thread za kutunga ningeamini japo kwa kumpa benefit of doubt lakini aliyetuambia rais kateua manager ww bar sinza kuwa mkuu wa mkoa ni vigumu kumuamini tena. Labda kama mshabiki wa kisiasa
 
Ni kwa kuwa tu una chuki na Sumaye au chama alichoko sasa, kujaribu kumdhihaki Sumaye katika uongozi ni kumdhihaki moja kwa moja Mzee Mkapa. Sumaye ndiye ana rekodi ya kuwa waziri mkuu kwa miaka kumi mfululizo tangu mfumo wa vyama vingi uingie nchini. Kama kuna mafanikio yoyote katika uongozi wa Mkapa basi Sumaye anahusika sana, vinginevyo mtueleze hapa kuwa awamu ya tatu haikuwa na mafanikio hata chembe! Na ukumbuke baadaye akiwa hayuko madarakani Sumaye alienda kujifua Harvad, kwanini usijaribu kumtendea haki kwa kumpa muda katika nafasi hiyo ambayo wanachama wenzake wa Chadema wameona inamfaa?

Suala la Mary Nagu Mzee Sumaye ameliongolea sana. Ungekuwa unajadili jambo hili ukiwa fair ungeweza kukumbuka kwamba miongoni mwa mambo ambayo alikuwa akilalamikia sana ni namna "mchezo mchafu" ulivyokuwa ukichezwa katika kupata viongozi ndani ya CCM katika miaka ya karibuni. Kabla ya kumdhihaki mzee Sumaye ungetafuta kwanza ukweli wa kile kilichofanyika kwenye uchaguzi ambao wewe umeubatiza hapa kuwa ni "Kimbunga cha Mary Nagu kilimpeperusha". Btw, kama Sumaye ni "second hand" hebu tusubiri athibitishe mwenyewe katika nafasi hiyo!
Time will tell..
 
Kuotoka waziri mkuu hadi mwenyekiti wa kanda ni sawa na kumkuta mwamnyange kwenye KKK SECURITY halafu unaona hayo nimbo mazuri ya kuigwa
Lumumba....aa bado kidogo mtamshauri mkulu na poriccm nalo walipige marufuku mpaka 2020. Hivi uoga mkubwa namna hii wa chama kikongwe namna hii, unatoka wapi?
 
Mwenye mamlaka na chama anapanga safu yake ili akigombea na kuchukua chama iwe rahisi kuongoza. Lowassa anaona mbali na mjanja mno.
 
Dar es Salaam. Wasomi nchini wamesema iwapo Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, atasaidia kukijenga chama hicho cha upinzani nchini, kuanzia ngazi ya chini.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti walisema jana kuwa Sumaye ambaye juzi alirejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo, katika ofisi za kanda hiyo Dar es Salaam, akitumia uzoefu alionao kiuongozi, atakuwa msaada kwa chama hicho.

Walisema uamuzi huo umeonyesha kuwa hakuhamia CHADEMA kwa masilahi binafsi.

Profesa George Shumbusho wa Chuo Kikuu cha Mzumbe alisema: “Inaonekana (Sumaye) ana lengo la kusaidia upinzani ukue. Kwa mchango na uzoefu wake serikalini ataisaidia sana CHADEMA maana chama lazima kiwe na nguvu kuanzia ngazi ya chini.”

Sumaye ndiye Waziri Mkuu pekee katika historia ya Tanzania kushika wadhifa huo kwa miaka 10 baada ya kuwa msaidizi wa Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kati ya mwaka 1995 hadi 2005.

Agosti mwaka jana, Sumaye aliyekuwa kete muhimu katika kampeni za aliyekuwa mgombea urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutokana kuikosoa Serikali na kuwataka Watanzania kutoichagua CCM, alitangaza kuachana na chama hicho tawala na kujiunga na upinzani.

Shumbusho alisema ameonyesha kuwa yeye siyo aina ya wastaafu wanaopenda sifa na hakwenda kusaka ulaji CHADEMA huku akibainisha nchi ikiwa na upinzani imara, chama kilichopo madarakani hugangamala.

Profesa wa Chuo Kikuu cha Ruaha, Gaudence Mpangala alisema: “Alijiunga (Sumaye) na upinzani unaohitaji viongozi kila siku. Yeye kuwa kiongozi ni jambo sahihi zaidi.”

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Hamad Salim alisema uamuzi aliochukua Sumaye ni haki yake ya kikatiba, licha ya kuwa watu watamkosoa kutokana na nafasi aliyokuwa nayo awali.

“Wapo wanasiasa wanaohama kwa masilahi binafsi, pili chama tawala huwa na mtindo wa kuwatumia makada wake waliohamia upinzani na mtu anaweza kuhama chama kwa ajili ya kwenda kukijenga chama kingine.

Kama Sumaye lengo lake ni kuijenga CHADEMA hatua aliyochukua ni sahihi,” alisema.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Richard Mbunda alisema: “Anaonekana siyo mtu wa kutaka masilahi. Wakati wa kampeni alisema anataka kujenga upinzani, alichokiamua sasa ni wazi anataka kuwaonyesha Watanzania kuwa anaishi katika maneno yake.”
Zero brain
 
Hiki cheo kiko katika katiba? au ndio utaratibu ule ule wa kupata mgombea urais wa ukawa? and then Pwani mkoa au kanda? na tatizo la CHADEMA litalosabisha kufa kwake ni huu ukanda, Sumaye na Pwani wapi na wapi? kila cheo haijalishi kiko katika mkoa gani wanapachika mchaga au mtu wa kaskazini (ona wabunge wao wa viti maalumu). Sumaye hana mvuto ukanda wa Pwani na kiukweli CHADEMA kimefeli na Sumaye amefeli.
 
Umefeli wewe unaebisha kwa sababu hujui. Sumae ni mkazi wa Kibaha. Kumbuka historia, Nyerere na Kambona waliingia Legislative Council kupitia Morogoro (1959), Mrema aliwahi kuwa Mbunge Vunjo-CCM halafu Temeke -NCCR. Hilo ndilo lako na Lumumba wengine.
 
Back
Top Bottom