Hapa si suala la kufundisha wameonyesha weakness kwenye ripoti ya PAC ni juu sasa ya zito na kundi lake waje na majibu.Walikuwa darasani wanafundishwa cha kuandika!
Lakini wewe MTK si umeenda shule,hebu weka ushabiki kando ,uanze kupangua point za hao vijana.Wahitimu wa shule za Kata zisizokuwa na walimu wala maabara, walevi wa Viroba original, vijana wa kata K; hivi nao hawa siku hizi wanaitwa wasomi! Aaastagafururahi!!!!! No wonder nchi hii waziri mzima wa serikali ya JK; Hawa Ghasia; anadiriki kusimama Bungeni anachangia hoja kitu asichokijua; ESCROW!! Msiwasikilize hao walevi! Moderators futa Uzi huu, bs
Kumetokea wizi ofisini kwenu,meneja wako anadai kwenye sefu zilikuwemo milioni 100.Inawezekana ni kweli sijui hesabu lakini ukiniambia tano jumlisha tano jibu ni tatu lazima nikubishie kwa sababu kivyovyote vile tano kujumlisha tano jibu lazime liwe kubwa kuliko tano. Hawa wanaojiita vijana wasomi wanataka kutulazimisha tatu iwe ndio jbu la tano jumlisha tano. hakika hawa ni ashki majinuni, vihiyo wasiojua ni lini na ni nini hatima zao. Eti wanatumia neno "vijana wasomi" ili kutuziba midomo. Warudi kwa Muhongo wakamwambie tumewashtukia labda waje na hoja nyingine!
Hebu weka entries zinazo sum up to 182 ili kupinga hiyo 321, maana "zilikuwemo" sio tendo la hisabati!!!!Lakini wewe MTK si umeenda shule,hebu weka ushabiki kando ,uanze kupangua point za hao vijana.
tuambie inakuaje kina zito wadai zimechotwa bilion 321 wakati zilikuwemo bilion 182?
Tusiwe na jazba kuwaponda wasomi, naomba tusitizame walioandika bali tutizame kilichoandikwa, mimi sioni kama kuna makosa wao kutoa maoni yao na kuikosoa kamati kama wameona ripoti yao ina dosari.Mbona hamkupiga kelele pale Mh Jaji Warioba aliposema ripoti ni dhaifu. Ripoti ya PAC inaonyesha wazo haipo wazi,haina ukweli na haikutengenezwa kitaalamu bali kisiasa, maana imefagilia chini ya kitanda uchafu mwingi saana kwasababu ya kuwalinda watu fulani fulani, sasa wanaojiita wasomi kuomba iundwe tume huru kuna kosa gani? Wengi wetu kwa kushabikia tunachotaka mawaziri waliotajwa wawajijibishwe,tunafikiria ndio tutakua tumemaliza tatizo, sasa je ule uchafu waliotaja ambao wamehusika ambao uchafu wao umefagiliwa chini ya kitanda tuuache? Tutakua tumefanya nini? Tunatakiwa tuusafishe uchafu wote na tutoe uamuzi ulio wa haki.huo ni upumbavu kwa vibaka mnaojita wasomi afu unashindwa kupambanua mambo.
tena mkome kuchafua wasomi wa tz
We cha.ngu sibishani na watu wenye akili sawa na gram 2.35 (sawa na manyoya ya kuku) katafute size yako wakurekebishe na hayo marinda nadhani yana muwasho.nimepuuza ulichopost kama nilivyokuouuza wewe mwenyewe
Kumetokea wizi ofisini kwenu,meneja wako anadai kwenye sefu zilikuwemo milioni 100.
wewe tajiri mwenye ufunguo wa sefu unasema humo kwenye sefu zilikuwemo milioni tano tu,huoni hapo ni kuchanganya watu?