Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

Hili sakata mpaka litolewe maamuzi vijana wetu wengi watakuwa wameambukizwa UKIMWI. Naona vijana wejitoa ufahamu kabisa kwa sababu ya kupenda bongo!!! Kenge wakubwa
 
Nilipoona tu wanafunzi wa course za mafuta na gas basi nkajua ni pandikizi la Waziri muhongo ambaye ni muongo!

Ningefurahi kama kungekuwa na orodha yao ili tujue namna kila individual alivyo mjinga maana kwa mtu unayejiita nwanazuoni hujui hadi sasa hujui majukumu ya auditor na majukumu ya Owner PAC ambayo ni bunge ambalo ni kwa niaba ya wenyenchi (owners) auditors hawawajibishi management wanatoa defiency, cause kwenye recommendation hawawezi recommend kumuwajibisha mtu hata siku. Owners ndio wa kuwajibisha managment yake

Kimsingi nasisitiza tena hao sio wanazuoni ni wajinga wachache (Media) waliopandikizwa na profesa muongo.
 
Walikuwa wapi wakati report hii inasomwa Bungeni?

Ndugu hawa vijana ni mbwa flani vile.

Wanaidhalilisha hadhi ya vyuo vyetu, uelewa wa Vijana wa Tanzania na kizazi hiki.

Hawa walistahili kupigwa hadharani. Taifa linateeketea halafu kenge wa div - 5 na BRN wanasifia upumbavu!!!!!!
 
Hao walisomea mikataba,sheria au udhibiti na ukaguzi au? Maana inaonekana profession zao ni tofauti na wanachokisema
 
Hakuna dhambi kubwa saaaana Kama mwanazuoni kutumiwa na genge la watu!!!Tuweke uzalendo wa Nchi Yetu mbele,tuache kuwa kizazi cha wajinga hasa Katika Karne hiii Hii ya wasomi....!!!!!!
 
Njaa mbaya sana walau mngesema wahitimu wa Secondary za kata ningesoma maelezo yenu yote. Jamani naomba na mimi mnitumie japo hizo mlizobakiza katika mgao wa kutetea wezi no zangu hizi hapa kwa M PESA; 0768 334 43388.

Nimeangalia kile kilichoandikwa na hao wasomi kwa kweli ni ----- mtupu, na ukiangalia kwa jicho pana unaona ni tamko maalum la vijana wasomi( uchwara). Sijaona kama ni fikra HURU!
 
Nimeangalia kile kilichoandikwa na hao wasomi kwa kweli ni ----- mtupu, na ukiangalia kwa jicho pana unaona ni tamko maalum la vijana wasomi( uchwara). Sijaona kama ni fikra HURU!

Moderator, kwenye gap ni -----!
 
Nyang'au kweli kwanza mmeanza kwa kutoa misifa yakijinga kwa wizara ya nishati, mkimaanisha mnamsafisha waziri na mwenzie, tumesikia manenomengi kua kuna pesa inatembea tembea, hiyotumehuru ya kivip?

ccm mule wamejaa upinzani kidunchu, Huo usomi wenu bure na nyie mchunguzwe hizopesa mlosomeshwa nje ya nchi zimepotea kifisad nyambafu NB:ACHENI SAKATA HILI KWANZA MAAZIMIO YATEKELEZWE NANY MJE NA PAKAPAKA ZENU

Hata aliye wapa hizo hela anathibitisha alivyo mjinga. Kawapa bila ku-monitor quality ya kinacho fanyika matokeo yake kinamtengenezea matusi na walakini mkubwa kwa jamii. Angewauliza vizuri wenzie wa CCM wanavyofanya kwenye zile book sabasaba za wanaokuja JF ku-polute. Hawa hata kuandika, flow hata ya motto wangu wa Grade 3 kawashinda acha content. Nilishawahi kusema, ukikosea tu kuanza maanake content yote haitaaminika.
 
Tuna wajibu wa kuilinda nchi yetu dhidi ya wanyang'anyi na walafi
 
wanachuo uchwara wakoje mkuu

mkuu wanachuo uchwara hujaribu kutumia elimu yao kwa kupotosha which is good for nothing kama hawa walioleta hii thread. unaweza kupata huo msaada wa laptop kwaajili ya kusomea lakin si vyema kulipa fadhila za kumtetea waziri ambaye tayari amethibitika kwa uzembe na wizi
 
Hawa wanazuoni wa ccm ni noma! Wanatumia m@k@|!0 au m@t0mb*0? Nyambaf zao!
 
Hawa watu wametumwa na ikulu. Kama unakumbuka vizuri rais juzi alisema report ya CAG uwekwe wazi wananchi waifahamu.

Maana yake raisi kuna watu anataka kuwasafisha kwakuwa ile report haijataja jina la mtu.

Lakini kama kikwete ni mkweli basi aweke naile report ya pccb wazi umma uione na uielewe.
 
Ripoti ya CAG,hakuna sehemu yoyote inayosema kwamba fedha iliyotolewa kwenye akaunti ya escrow ni mali ya umma.
 
Back
Top Bottom