Wasomi wa Physics naomba majibu

kifupi hauendi au kwa lugha nzuri hautumiki. Ili umeme uende mpaka mwisho wa safari yake ni lazima uuone ukibadilika toka electricity kuwa energy mfano,light energy,sound energy,au energy zitumikazo kuzungusha mota za mashine.

Or shortly ni Kwamba hakuna consumption coz the circuit is not completed. It is still an open cct.
 
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.

Umeme ni neno kubwa sana. Hapa lazima tuangalie vitu vitatu ambavyo ni Load (Resistance R) eg. Bulb hiyo uliosema, Voltage V na Current I. Kwahiyo mkuu kama ukiwasha switch ni kwamba Voltage V itafika mpaka point of connection ya bulb lakini current I haiwezi kuwepo. Na Voltage itafika ileile ya supply let say 240Vac kwakuwa voltage in parallel is equal. Nakumbuka kuwa voltage hapa ni kama force ya kusukuma electrical charge ambayo ni current panapokuwa na Resistance R.
Kwakifupi
1. Umeme (voltage) utafika mpaka point of connection
2. Current haitakuwepo kwakuwa hakuna load (bulb)
3. Mita yako haitatembea kwakuwa no current drawn.

Kama una swali lingine la umeme uliza usiogope!!
 

Mkuu unachanganya mtu hapa japo binafsi nimekuelewa sana. Theory ya capacitance hapa mtu hawezi elewa kama sio wa umeme.
 

Mkuu unachanganya mtu hapa japo binafsi nimekuelewa sana. Theory ya capacitance hapa mtu hawezi elewa kama sio wa umeme.


Wakuu hapo juu mna sifa zote za kuwa Walimu......heshima mbele
 
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.

Hiyo ni open circuit,then no current flow,ila ukienda deep zaidi mkondo wa umeme unaweza ukawepo,ila ni mdogo sana kama micro amperes,kati ya LIVE NA NEUTRAL,kupitia kwenye insulation inayotenganisha hizo waya mbili,na hii utokea sana kama umeme unaozungumziwa hapa ni mkondo geu,( alternating current).kwa mkondo mnyoofu,hamna mkondo utakao kuwepo,umeme hautaenda kama hamna kikinza(kifaa kinachotumia umeme).hata kama umewasha switch.
 
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
Umeme hauwezi kwenda kwa sababu ili uweze kwenda lazima upite kwenye circuit ambayo iko closed. In this case ile switch yako haina maana kwa sababu bulb haipo. Ile bulb ndiyo inayo complete the curcuit na kuufanya umeme upite. Otherwise its an open circuit
 

Kidogo nikukumbushe kuwa hata waya (conductor) ina resistance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…