cabhatica
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 1,081
- 480
Is the study of charges whether at rest (STATIC) or in motion {CURRENT}
...and, what is charges?

Is the branch of sayansi that deal with matter in relasheni to energy.
kifupi hauendi au kwa lugha nzuri hautumiki. Ili umeme uende mpaka mwisho wa safari yake ni lazima uuone ukibadilika toka electricity kuwa energy mfano,light energy,sound energy,au energy zitumikazo kuzungusha mota za mashine.
....and, what is energy?
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
Kwa bahati mbaya umeme utakwenda hata kama bulb haipo; najua watu wengi hawataamini jibu hili ila ndivyo ilivyo. Umeme tunaotumia majumbani na viwandani duniani kote ni wa aina ya AC, ambayo kwa Tanzania inakuwa na frequency yenye mizunguko hamsini kwa sekunde; umeme huu hupita mahali popte iwapo utaweka mradi tu uwe na nyaye mbili kwa karibu zinazokamilisha mzunguko hata kama hazikuuungana, yaani bulb haipo. Nyaya hizo hufanya kitu kiachoitwa capacitance ambayo hukamilisha circuit ya AC. Uzuri ni kuwa umeme huo huenda kwa kasi ndogo ambayo haitaweza kuathiri sana bili yako ya mwezi, ila ukiuacha kwa muda mrefu sana kama mwaka mzima utakuta bili nayo imepanda kwa kiasi fulani.
Anyway, umenishinda kwa ujanja ujanja na msaada wa mod, nitarudi maana sijakubali.
Na FASTJET AMA AIRTANZANIA??
...and, what is charges?
Kwa bahati mbaya umeme utakwenda hata kama bulb haipo; najua watu wengi hawataamini jibu hili ila ndivyo ilivyo. Umeme tunaotumia majumbani na viwandani duniani kote ni wa aina ya AC, ambayo kwa Tanzania inakuwa na frequency yenye mizunguko hamsini kwa sekunde; umeme huu hupita mahali popte iwapo utaweka mradi tu uwe na nyaye mbili kwa karibu zinazokamilisha mzunguko hata kama hazikuuungana, yaani bulb haipo. Nyaya hizo hufanya kitu kiachoitwa capacitance ambayo hukamilisha circuit ya AC. Uzuri ni kuwa umeme huo huenda kwa kasi ndogo ambayo haitaweza kuathiri sana bili yako ya mwezi, ila ukiuacha kwa muda mrefu sana kama mwaka mzima utakuta bili nayo imepanda kwa kiasi fulani.
Mkuu unachanganya mtu hapa japo binafsi nimekuelewa sana. Theory ya capacitance hapa mtu hawezi elewa kama sio wa umeme.
Umeme ni neno kubwa sana. Hapa lazima tuangalie vitu vitatu ambavyo ni Load (Resistance R) eg. Bulb hiyo uliosema, Voltage V na Current I. Kwahiyo mkuu kama ukiwasha switch ni kwamba Voltage V itafika mpaka point of connection ya bulb lakini current I haiwezi kuwepo. Na Voltage itafika ileile ya supply let say 240Vac kwakuwa voltage in parallel is equal. Nakumbuka kuwa voltage hapa ni kama force ya kusukuma electrical charge ambayo ni current panapokuwa na Resistance R.
Kwakifupi
1. Umeme (voltage) utafika mpaka point of connection
2. Current haitakuwepo kwakuwa hakuna load (bulb)
3. Mita yako haitatembea kwakuwa no current drawn.
Kama una swali lingine la umeme uliza usiogope!!
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
....and, what is energy?
Kwani Umeme wa Radi haudondoki?
Umeme hauwezi kwenda kwa sababu ili uweze kwenda lazima upite kwenye circuit ambayo iko closed. In this case ile switch yako haina maana kwa sababu bulb haipo. Ile bulb ndiyo inayo complete the curcuit na kuufanya umeme upite. Otherwise its an open circuitSwali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
Wakuu hapo juu mna sifa zote za kuwa Walimu......heshima mbele
Umeme ni neno kubwa sana. Hapa lazima tuangalie vitu vitatu ambavyo ni Load (Resistance R) eg. Bulb hiyo uliosema, Voltage V na Current I. Kwahiyo mkuu kama ukiwasha switch ni kwamba Voltage V itafika mpaka point of connection ya bulb lakini current I haiwezi kuwepo. Na Voltage itafika ileile ya supply let say 240Vac kwakuwa voltage in parallel is equal. Nakumbuka kuwa voltage hapa ni kama force ya kusukuma electrical charge ambayo ni current panapokuwa na Resistance R.
Kwakifupi
1. Umeme (voltage) utafika mpaka point of connection
2. Current haitakuwepo kwakuwa hakuna load (bulb)
3. Mita yako haitatembea kwakuwa no current drawn.
Kama una swali lingine la umeme uliza usiogope!!
Kidogo nikukumbushe kuwa hata waya (conductor) ina resistance