Wasomi wa Physics naomba majibu

Wasomi wa Physics naomba majibu

Umeme ni neno kubwa sana. Hapa lazima tuangalie vitu vitatu ambavyo ni Load (Resistance R) eg. Bulb hiyo uliosema, Voltage V na Current I. Kwahiyo mkuu kama ukiwasha switch ni kwamba Voltage V itafika mpaka point of connection ya bulb lakini current I haiwezi kuwepo. Na Voltage itafika ileile ya supply let say 240Vac kwakuwa voltage in parallel is equal. Nakumbuka kuwa voltage hapa ni kama force ya kusukuma electrical charge ambayo ni current panapokuwa na Resistance R.
Kwakifupi
1. Umeme (voltage) utafika mpaka point of connection
2. Current haitakuwepo kwakuwa hakuna load (bulb)
3. Mita yako haitatembea kwakuwa no current drawn.

Kama una swali lingine la umeme uliza usiogope!!

umechanganya electromotive force na voltage! PITIA CHAND AU UNIVERSITY PHYSICS (U. P.)
 
DarKwetu, what pushes the electrons ni ELECTROMOTIVE FORCE (EMF) na si switch ndo maana nikakwambia inategemea na factors nyingi ikiwemo:
1. Aina ya sakiti kama ni sambamba ama mfuatano

2. Aina ya umeme kama ni D.C. au A.C.

Umeme hautumiki, na bill haiendi. Period. Tatizo Waswahili wengine mnapenda sana ku-complicate mambo ili kujifanya mnajua zaidi.
 
aina gani ya circuit? Umemsoma Kirchoff kweli wewe?

Wewe "uliyemsoma" Kirchoff tuambie anasema nini kuhusu hii issue. Kirchoff's Law haina uhusiano wowote kuhusu hili.
 
Umeme hautumiki, na bill haiendi. Period. Tatizo Waswahili wengine mnapenda sana ku-complicate mambo ili kujifanya mnajua zaidi.

kwahiyo unapenda majibu rahisirahisi kama yaleeeee ya baadhi ya viong....... wa se r k l?
 
Wewe "uliyemsoma" Kirchoff tuambie anasema nini kuhusu hii issue. Kirchoff's Law haina uhusiano wowote kuhusu hili.

naona mkuu anakutishia jina la kirusi. Si ajabu vifaa vyetu vinapiga shoti sana, tunachanganya madesa.
lol.
 
Energy is the ability of a man to make a soft flesh as hard as a bone using blood vessels.

Hapo umetisha. Nilichogundua ni kwamba hakuna aliyeweza kutoa defn ya electricity. Kwa kuwasaidia tu, electricity is USE IT!
 
Back
Top Bottom