Jamal naeem
Member
- Jan 10, 2014
- 72
- 20
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
Kama utachukulia kama energy kutakuwa na very small loss of energy(kuna factors zinahusika),kama unazungumzia current electricity hamna itayokuwa imetumika(hakuna electrical applience hapo).Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
Swali langu ni dogo tu kwa mfano umewasha switch ya taa halafu bulb halipo jee umeme unakwenda?.
hahahahahahahahahahahahahahNa FASTJET AMA AIRTANZANIA??
Unakwenda kwa maana ya kutumika ama unamanisha nn? Fafanua!
kifupi hauendi au kwa lugha nzuri hautumiki. Ili umeme uende mpaka mwisho wa safari yake ni lazima uuone ukibadilika toka electricity kuwa energy mfano,light energy,sound energy,au energy zitumikazo kuzungusha mota za mashine.
hahahahahahahahahahahahahah
Umeme hautoenda mkuu.Maana ili umeme uende inabidi uwe converted to a new form.Incase ya light bulb, energy conversion ni kutoka electricity kwenda light
Kama utachukulia kama energy kutakuwa na very small loss of energy(kuna factors zinahusika),kama unazungumzia current electricity hamna itayokuwa imetumika(hakuna electrical applience hapo).
kwa hiyo nani mwenye hicho kipaji?ujinga nacho kipaji.
kwa hiyo nani mwenye hicho kipaji?
Kwa bahati mbaya umeme utakwenda hata kama bulb haipo; najua watu wengi hawataamini jibu hili ila ndivyo ilivyo. Umeme tunaotumia majumbani na viwandani duniani kote ni wa aina ya AC, ambayo kwa Tanzania inakuwa na frequency yenye mizunguko hamsini kwa sekunde; umeme huu hupita mahali popte iwapo utaweka mradi tu uwe na nyaye mbili kwa karibu zinazokamilisha mzunguko hata kama hazikuuungana, yaani bulb haipo. Nyaya hizo hufanya kitu kiachoitwa capacitance ambayo hukamilisha circuit ya AC. Uzuri ni kuwa umeme huo huenda kwa kasi ndogo ambayo haitaweza kuathiri sana bili yako ya mwezi, ila ukiuacha kwa muda mrefu sana kama mwaka mzima utakuta bili nayo imepanda kwa kiasi fulani.
Unadondoka
Unadondoka