The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
unashauri kipi kati ya viwili?awe mwanaharakati shupavu au mwanasiasa nalenale aka mlenda
Tundu Lissu akitaka aendeleze kuwa mwanaharakati awe yeye mwenyekiti
sababu hata Mbowe ni mwanasiasa sio mwanaharakati.....
Wanaharakati huwa ni 'kupata yote' au 'kukosa yote'
wanasiasa huwa siku zote wanapata lakini hawapati yote...