xbin40
Member
- Mar 14, 2025
- 69
- 76
Naombeni kujua haya mambo
1. Ajira za utumishi wanavyosema kucertify vyeti ndo uombe ajira, je zile transcripts ambazo zinaambatana na vyeti vya chuo nazo zinatakiwa kuwa certified Au ni cheti tu?
2. Kwasasa kupata mhuri wa mahakama au mwanasheria ina range kwenye kiasi gani cha pesa?
3. Ajira za ualimu zinazingatiaga GPA kama wakufunzi wa vyuo?
3.Mnaweza kujibu hayo maswali hapo juu (1&2)kwa utaratibu na utashi bila jokes na kebehi?
ASANTENI SANA.