Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,171
Nimefanya utafiti miaka 5 sasa Nina data za kutosha kua miongoni mwa wahanga wa kutapeliwa na KUIBIWA wengi wao ni Wasomi kuliko wasiosoma tatizo kubwa nililogundua ni kujifanya wanajua Sana. Badilikeni wasomi hivi uko mashuleni ama mavyuoni mnajifunza nini? Aibu kwenu wasomi.