Wasomi Ndio wanaoongoza kutapeliwa mjini hivi hii ni kwa nini?

Msomi hujenga imani kwa mtu na kuhisi mwenzake ana roho ya utu na ni profesional,tatzo huja pale ambapo mwenzie anakua ana act.Msomi siku zote hana time ya kureasons huyo mtu ni mwez labda kwa wenzetu wale wasiosoma wanapokutana na watu huanza kuwaza kutapeliwa kwanza na ndo mana kesi nyingi za watu kuuana ama kudhuriana kwa vitu vidogovidogo hutokea kwa watu wa namna hiyo
 
Bado uko pale mkuu ila ikumbukwe kua wapo watu hawajasoma lakini Wana majumba mazuri pia ambayo ni vivutio vya matapeli unaweza Kuona

sasa kuhusu hayo uliyosema umesema wewe mimi sijaandika hayo!!!halafu note that katika post zangu kuna maneno "wanaoonekana kuwa wasomi"!!!humu tunaandika kwa ufupi tu sasa unahitaji kuwa na uwezo mkubwa kuelewa maneno machache yanayobeba ujumbe mkubwa
 
Back
Top Bottom