Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,131
- 12,868
Hahaa simsemi mtu mieeHold my beer, nishamjua unayemnanga hapa hakwanani!
Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Kwa kifupi:Unaongea kitu gani hiki?Kuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Ili tujue uwezo wako katika kiingereza tafsiri hili bandiko lako katika kiingereza, chukua paragraphs ya kwanza na ya 2.Inakuwaje msomi ama graduate wa chuo kikuu aliespend miaka kama minne chuo kikuu na ana degree,masomo yake yote ni kiingereza tupu anafanikiwa kugraduate, lakini ukimwongelesha kiingereza haelewi...
Nipe mfano wa technical English na fluency englishKuna Technical English and Fluency English. Watu wanao soma sayansi wanatumia Technical English sana. Hivyo ukiwaingiza kwenye fluency hawatakuelewa. na wewe wakiungiza kwenye technical hutowaelewa. Watu wanaosoma arts ndio wanatumia fluency English, sana ila nao technical English holaaaa
Ntwara wazima lakini [emoji1]Chongereja, cha wapagaji bana, chichi lugha yetu chichwahili.
Ni kweli kabisa yaniThat's why wataalam wetu wengi uwezo ni mdogo na vijana hawaajiriki! hauwezi ukawa mbobezi wa jambo flani ilhali lugha uliyotumia kusomea jambo husika inakupiga chenga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hold my beer, nishamjua unayemnanga hapa hakyanani!
Hahaaa alooIli tujue uwezo wako katika kiingereza tafsiri hili bandiko lako katika kiingereza, chukua paragraphs ya kwanza na ya 2.
Hata mi mlokoleYaani wanawake wakishasoma na kuwa na elimu basi tafrani wanaona wengine Hamna kitu
Au nasema uongo walokole?
Kwakweli..Abigail.
Kama waziri wa elimu hajui kiingereza unategemea mwanafunzi au hata mwalimu kwenye shule zilizo chini ya huyo waziri ajue kiingereza?