Bahati mbaya ccm imetupotezea kura za wanachuo pambaff kabisa....share ujumbe huu wa lowasa kwa watu wengine hii ni habari njema sana
ww ndio mpumbavu mwenyewe mnatudanganya mtatoa milion 50 kwa kila kijiji ili zifanye nini au mnawatafutia makada ulaji na mgombea wenu,ila za wanafunzi wasio na ajira kufutiwa mikopo yao haiwezekani acha porojoYani hapo ni kama demu anapigishwa sound, nae kaingia kingi...ona wapumbavu wasiojielewa wanavyofurahi!!
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.
Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.
Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.
Hawa ndio wasomi wa Tanzania, wanatongozwa kwa pipi!!! We've got very few critical thinkers asee!!lowassa anajua kabisa hapit ndo maana anaahidi vitu visivyokuwa hata na logic. Any way endeleen kujifariji na kama ni mnufaika wa loan board utarejesha tu fedha ili na mwanao pia anufaike. Polen sana mnaojiita wasomi wakati uwezo wenu kuchanganua mambo umezuiliwa na mahaba.
Wanafunzi popote mlipo kama ulijiandikishia chuoni jitahidi uende huko ukapige tu kura aise maana nauli sii kitu mbele ya mkopo.
Hawa ndio wasomi wa Tanzania, wanatongozwa kwa pipi!!! We've got very few critical thinkers asee!!
Hawa ndio wasomi wa Tanzania, wanatongozwa kwa pipi!!! We've got very few critical thinkers asee!!
Kile kilio cha siku nyingi cha maumivu ya mkopo wa elimu ya juu kinakaribia kupatiwa jibu. Mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA Edward Lowassa ameahidi kuwasamehe wale wote waliokopeshwa na kodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB). Lowassa anamaanisha kuwa wanaodaiwa hawatalipa tena na itakuwa ni kama wamesomeshwa bure tu na Serikali yao.
Wakati huohuo, Lowassa anaendelea kusisitiza kuwa elimu ya chuo kikuu itakuwa bure. Wasomi wa wakati wa nyuma na wale wa sasa, mnataka nini tena? Lowassa, kutokana na ahadi zake za kiuchaguzi, anatamani kuona elimu inakuwa bure na hata wale waliokopeshwa wakijisikia kuwa wamesoma bure. Lengo kuu ni kutoa elimu ya bure na bora kwa maendeleo ya Tanzania yetu.
Mtampa kura wasomi wa Tanzania? Wale waliolipa hadi kumaliza mkopo, Serikali itawarudishia fedha zao? Tutege masikio tena kumsikia Lowassa atalisemeaje hili.
Kala Jeremiah na Prof. Jay waliimba. Exactly jamaa anachoahidi hapa. Nchi ya asali na maziwa...Ukitaka kumkamata Mtanzania mpe matumaini hewa
Kazi ipo kwa kwel el79. Pia nimegundua hapa wanaojiita wasomi pia wanapenda sana mteremko a.k.a shumbwela ndo maana n rahc kununuliwa kifikra kama ambavyo lowasa anawafanyia sasa hv.