Wasomali Mogadishu waogopa kuandamana kuiunga mkono Hamas na Palestina

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,717
29,074
Mzuka Wanajamvi.

Wasomali Mogadishu waogopa kuandamana mitaani kuiunga mkono Hamas na Palestina na kuwalaani wateule na taifa teule la Israel.

Hofu hiyo ya maandamano ni kuogopa kulipuliwa na wajitoa mhanga kutoka kundi la kigaidi la Alshabaab (waislam wa kweli) wanaofuata na kutii kila nukta ya Quran na hadith.

Hata hivyo wameshauriwa badala ya kuandamana wailaani taifa teule kwenye mitandao ya kijamii kama Tiktok.
 
Tulia wewe
Magaidi Israel wapo kwenye 18 za kupasuliwa vichwa
IMG_20231112_205146.jpg
 
Anayeilaani Israel naye hulaanika,wengi akiwemo Saud Arabia ameshtuka mapema.
wewe ni mbuzi na mtumwa mwema wa wazungu. Kwa hiyo nchi zz Kiarabu kuanzia Moroco, Tunisia, Algeria, hadi Iran zimelaaniwa??? Umasikini wa akili ni mbaya sana.
 
wewe ni mbuzi na mtumwa mwema wa wazungu. Kwa hiyo nchi zz Kiarabu kuanzia Moroco, Tunisia, Algeria, hadi Iran zimelaaniwa??? Umasikini wa akili ni mbaya sana.
Nchi zote ulizotaja zina hali mbaya sana kuanzia uasi miongoni mwao mpaka kukosa amani ya nafsi na kuishia kufia baharini wakikimbia nchi zao.Ni laana inazitafuna ndio maana Saudi Arabia na Misri wameshtuka.
 
Back
Top Bottom