Kifo cha Clemens Matanga na bado kuna Watanzania walitaka kuandamana kuwaunga Mkono Hamas

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Clemens Matanga ni kijana wa miaka 22 tu aliyekuwa Israel akitafuta Elimu yake kwa ajili ya kulisaidia taifa na familia yake kwa ujumla.

Bahati mbaya tarehe 7/10 alitekwa na magaidi wa Hamas akiwa kwenye shughuli zake za kila siku, bahati mbaya sana Mtanzania mwenzetu amekutwa amefariki huko Gaza baada ya kuuliwa na magaidi wa Hamas kuna wale Pro Hamas watakuja hapa kusema kijana wetu naye alikua askari wa Israeli

Mbaya zaidi kuna watanzania walitaka kuandamana kuwaunga mkono magaidi wa Hamas kwa kitendo walichokifanya natumai wakiona hili bandiko kama ni watu wa majuto watajuta na kuomba Toba, badala waandamane Watanzania wenzetu waachiwe huru wao wanaandamana kuwaunga mkono Magaidi ni maajabu.

Niipongeze Serikali kwa hatua walizochukua dhidi ya maandamano yale. Nipende kuwakumbusha gaidi hana rafiki hata siku moja sio ajabu gaidi akaua hata familia yake kwa kigezo cha mafundisho makali.

IMG_4398.jpg
 
Clemens Matanga ni kijana wa miaka 22 tu aliyekua Israel akitafuta Elimu yake kwa ajili ya kulisaidia taifa na familia yake kwa ujumla.

Bahati mbaya tarehe 7/10 alitekwa na magaidi wa Hamas akiwa kwenye shughuli zake za kila siku, bahati mbaya sana Mtanzania mwenzetu amekutwa amefariki huko Gaza baada ya kuuliwa na magaidi wa Hamas kuna wale Pro Hamas watakuja hapa kusema kijana wetu naye alikua askari wa Israeli

Mbaya zaidi kuna watanzania walitaka kuandamana kuwaunga mkono magaidi wa Hamas kwa kitendo walichokifanya natumai wakiona hili bandiko kama ni watu wa majuto watajuta na kuomba Toba, badala waandamane Watanzania wenzetu waachiwe huru wao wanaandamana kuwaunga mkono Magaidi ni maajabu.

Niipongeze Serikali kwa hatua walizochukua dhidi ya maandamano yale. Nipende kuwakumbusha gaidi hana rafiki hata siku moja sio ajabu gaidi akaua hata familia yake kwa kigezo cha mafundisho makali.

View attachment 2817072
Uongo mtupu.

Huyo kauliwa na mazayuni wenyewe.
 
Kwa kutumia akili tu ,wale mateka wa kwanza waliachiwa ...Juzi kati walikubaliana kuachia mateka ili vita isiendelee .

Inakuwaje mateka aliyekamatwa kauliwa na nyie wana israel mjue kwamba kauliwa huku yule mwingine hamjui alipo ! Huyu ambaye kauliwa mlijuaje?

Huyu hakutekwa alikufa kitambo sana kweny mashambulizi na mjiandae kisaikolojia juu ya huyo mwingine.
 
Kwa kutumia akili tu ,wale mateka wa kwanza waliachiwa ...Juzi kati walikubaliana kuachia mateka ili vita isiendelee .

Inakuwaje mateka aliyekamatwa kauliwa na nyie wana israel mjue kwamba kauli huku yule mwingine hamjui alipo ! Huyu ambaye kauliwa mlijuaje?

Tatizo mijitu huwa inakaririshwa pasipo kutafakari mwishowe inakubali kila kitu km kondoo
 
Tatizo watu mlishalishwa matango pori bila kuelewa, kwa taarifa yenu Hamas ni mtoto pendwa aliyetengenezwa na Israel kushirikiana US ili kuangusha Palestina. Ni km ilivyoundwa Islamic State kuangusha Syria, endeleeni kukariri.

Ni bora ungechagua kukaa kimya ndg au ndio propaganda mnazolishwa hizo basi hata ukilishwa propaganda uwe na tabia ya kujisomea angalau utapata chochote kitu.
 
Kwa kutumia akili tu ,wale mateka wa kwanza waliachiwa ...Juzi kati walikubaliana kuachia mateka ili vita isiendelee .

Inakuwaje mateka aliyekamatwa kauliwa na nyie wana israel mjue kwamba kauli huku yule mwingine hamjui alipo ! Huyu ambaye kauliwa mlijuaje?

Huyu hakutekwa alikufa kitambo sana kweny mashambulizi na mjiandae kisaikolojia juu ya huyo mwingine.

Rudia kusoma tena ulichoandika shida mnalishwa uwongo sana halafu hamnoji fungukeni. kwa hiyo unaunga mkono walichofanya magaidi Hamas eehe kijana wa kitanzania alifanya kosa mpaka wakamteka wamekwambieni nini kwenye hizo propaganda zenu share w/ us plse
 
Uongo mtupu.

Huyo kauliwa na mazayuni wenyewe.

Aisee hata soni huna kabisa hebu twende pole pole leo unapata faida gani kusapoti ugaidi wa Hamas? kijana wetu wa kitanzania alikua anajitafutia maisha kupitia Elimu magaidi unaowasapoti na kuwatetea Hamas walimkamata kwa kosa gani?

Ila elewa giza ni giza tu na mwanga ni mwanga tu wewe endelea kuwasapoti magaidi wa Hamas kila mtu na achague mrengo wake.
 
Back
Top Bottom