Wasomali 90 na Wakenya 2 watimuliwa Marekani

Wasomali 90 na Wakenya 2 watimuliwa Marekani

Wewe mcharuko unamfananisha Rais wa dunia na huyu ambaye hawataki wananchi wake?
Trump kasema America kwa waamerica tu na ndiyo hiyo.
Huku Tanzania ni kwa ccm tu
Kwaiyo umeona jina langu. Limeandikwa

Mcharuko kweli we Nyapu. [emoji28][emoji28][emoji21]

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Approximately 90 citizens of Somalia and Kenya have been displaced both from the United States a few hours after reports emerge that President Donald Trump will be faced by people living in the country illegally.

They have all arrived at the international airport in Nairobi Jomo Kenyatta.
Kenya's government spokesman Eric Kiraithe told the BBC that the citizens of Somalia will be flown directly to Mogadishu.

Trump prevent immigrants entering the United States
Mr. Trump said on Wednesday it will be an important day for US security.

He is expected to set strict conditions for the citizens of seven countries in the Middle East and Africa with the largest number of Muslims who seek visas to the United States.

-------------
Raia takriban 90 wa Somalia na wawili wa Kenya wametimuliwa kutoka Marekani saa chache baada ya taarifa kuibuka kwamba Rais Donald Trump atakabiliana na watu wanaoishi nchini humo kinyume cha sheria.

Wote wamewasili katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi.

Msemaji wa serikali ya Kenya Eric Kiraithe ameambia BBC kwamba raia hao wa Somalia watasafirishwa moja kwa moja hadi Mogadishu.

Trump kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Bw Trump alisema Jumatano itakuwa siku muhimu kwa usalama wa Marekani.

Anatarajiwa kuweka masharti makali kwa raia wa mataifa saba ya Mashariki ya Kati na Afrika yenye idadi kubwa ya Waislamu wanaotafuta viza za kwenda Marekani.
058afd5e51784729eb155c1d6a71f6fa.jpg
Naomba link ya hii habari, tafadhali.
 
Naanaweka masharti magumu kwa Waafrika , Asia na nchi zenye waislam wengi
 
Kama wewe ni muhamiaji haramu kwenye mchi yoyote duniani lazima urudishwe kwenu.
Waafrica tunapenda mteremko saanaaaaaa,

Ni jambo sahihi, warudishwe tu , hamna namna, wabaki wenye vibali .
 
Huko tuendako kila mtu ataishi kwake. Mambo yakwenda kwa Jiran hajuna mabadiliko makubwa yanakuja dunian wananchi wanachaguwa viongozi wenye misimamo mikali na sera kali na hili sio Usa ni dunia nzima. Anaglia Eur viongoz walio namisimamo mikali ndio wanapata ugwaji mkono. Angalia German. France, UK. Rusia. Nenda mashariki yakati kuna Netanyahu bila Asia uphilipino rais anayenyonga watu wamadawa na watu wanampenda. Africa Magufuli ndio habari ya dunia. Tuseme ukweli Rais wa tanzania ameziamsha nchi za ulimwengu wa kwanza kumbe tunaweza na kiukweli dunia nzima Rais wa Tanzania amewavutia wengi. Watu hawapendi omba omba nawao wanamatatizo sasa tusipo jifunza kufanya kazi tumekwisha.
 
Comments za huu uzi zina alert kitu fulani........Kuna mioyo ya watu inafuata principle ya samaki moja akioza.
 
Ninachompendea Trump anaishi kwenye ahadi zake, hivyo hakuna haja ya kumchukia ....... Yeye anawatimizia ahadi wapiga kura wake .
Nakupenda Dada kwa kuwa unapenda kitu kwa msimu na kinapo haribu huna muda wa kutetea matapishi kama akina Faiza big up chukua 5
 
Kama wewe ni muhamiaji haramu kwenye mchi yoyote duniani lazima urudishwe kwenu.
Waafrica tunapenda mteremko saanaaaaaa,

Ni jambo sahihi, warudishwe tu , hamna namna, wabaki wenye vibali .
We si muhamiaji haramu hapo Dar es Salaam? Si ingefaa urudi kwenu kijijini kwa maendele ya kijiji chako? Hii dhambi haiwezi ishia hapo, sawasawa na kula kitimoto, ukiisha kula utaendelea tu!
 
Kila mtu abaki kwao kwa maendeleo ya nchi yake Trump watimue wote hata Mange Kimambi
Mange kakufanya nini ndugu? kwani anaishi kinyume na taratibu,au unataka aje huku tunakoumwa mafua mara kwa mara ,au unataka aje ili ashitakiwe kwa sheria zetu kandamizi za kikoloni?
 
Huko tuendako kila mtu ataishi kwake. Mambo yakwenda kwa Jiran hajuna mabadiliko makubwa yanakuja dunian wananchi wanachaguwa viongozi wenye misimamo mikali na sera kali na hili sio Usa ni dunia nzima. Anaglia Eur viongoz walio namisimamo mikali ndio wanapata ugwaji mkono. Angalia German. France, UK. Rusia. Nenda mashariki yakati kuna Netanyahu bila Asia uphilipino rais anayenyonga watu wamadawa na watu wanampenda. Africa Magufuli ndio habari ya dunia. Tuseme ukweli Rais wa tanzania ameziamsha nchi za ulimwengu wa kwanza kumbe tunaweza na kiukweli dunia nzima Rais wa Tanzania amewavutia wengi. Watu hawapendi omba omba nawao wanamatatizo sasa tusipo jifunza kufanya kazi tumekwisha.
Kazi unafanya kama IPO Magufuli ameuwa mitaji mingi ya watu na pia anapingana na Ilani aliyoipeleka kwa wananchi.
Usimfananishe huyu na mtu anayesimamia kitu alichosema.
 
Back
Top Bottom