Umetokea kwenye Nyenye Idadi kubwa wa Wakristo Tanzania...ndio sababu kubwa..Kwani mi Mkristo?
Siyo sawa na Magufuli aliyetuahidi mambo mengi sasa hivi anaikataa Ilani ya chama chake aliyozunguka kuiuza kwa watu
Yaani kuna baadhi ya Wabongo wana hasira kwa Wabongo/Wa Marekani wanaoishi Marekani, ni hatari! Wanadhani labda kila mbongo aliyeko kule ni mzamiaji!
Nilienda bongo vacation basi watu wakajua nimerudi kimoja kwa sababu ya Trump anarudisha watu. Niliiishia kucheka, sasa wanashangaa nimerudi zangu USA na maisha yanaendelea.
Yaani watu wana hasira na wabongo waishiyo USA dahhh!