antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,655
- 134,621
Tafsiri halisi ya kafiri hii hapa..Muislam hawezi kuwa kafiri Kama unabisha muulize Bibi yako kafiri ni nani uone kama atakwambia ni waislam.
SijakuulizaTafsiri halisi ya kafiri hii hapa..
Yuda 1:14
“Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo”
Usijitoe ufahamu.Sijakuuliza
Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
Muislam hawezi kuwa kafiri Kama unabisha muulize Bibi yako kafiri ni nani uone kama atakwambia ni waislam.
Biblio ndo imetungwa na watu,ndo maana inaubabaishaji mwiingi, mfano maandiko haya yanasema yesu ni mungu, upande mwingine yesu ni mwana wa mungu,yesu ni mtume,jamani tushike lipi tuache lipi?.
Biblia si moja kama ilivyo Quran kokote uendako iwe ni china, USA na kwingineko Quran ni ile ile,hili linadhihirisha kutokuwepo ubabaishaji ndani yake,ni kitabu kisichokuwa na shaka.
Surah Al-Imran Ayat 64( Quran 3:64)Leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa Biblia usihamishe mada
hata ku google hujui ?Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
Leta andiko kama lilivyoandikwa ili tuone kama kweli Quran inaweza kutaja kitabu cha kitapeli kama bibliaSurah Al-Imran Ayat 64( Quran 3:64)
Surah Al-'Ankabut 46
Nioneshe Zaburi ya kwenye Qurani.Qura'n ni mkusanyiko wa vitabu (Injili-Issa,Torati,Zaburi na Quran yenyewe.
Mkusangiko huu umejumuisha visa/hadith vya kale kwa lengo kutunza historia pamoja na mazingatio.
Imeelezea sayansi ya uumbaji na ubunifu.
Quran yenyewe imekuja kubainisha halali na haramu kwa huyo usihangaike.
Misingi yote imetoka kwa mitume mengine,yeye muhammad alikuja kukamilisha mafunzo ya halali na haramu pamoja na mafunzo ya swala.
na siku ya mwisho.
USIKASHIFU IMANI YA NTU,KWANI IMANI NI NJIA YA KUISHI LAKINI NI NAMNA YA KUIFIKIA NATURE(MUNGU).
Hebu google wewe alafu niletee andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa bibliahata ku google hujui ?
Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa bibliaUsijitoe ufahamu.
Nimejibu hoja yako hili hapa..
👇
HakunaHebu google wewe alafu niletee andiko linalotambua kuna kitabu kinachoitwa biblia
Hizo tafiti sahihi alizoweka yeye iko wapi link yake tuipitieMkuu umeelezea vizuri lakini jiandae kuoga matusi kutoka kwa watoto wa bi mdogo, kama kuna yeyote atakayekupinga kwa hoja na tafiti sahihi nitafute nikupe hela, huwa hawakubali kabisa kuambiwa ukweli
Quran yako ina maandiko chungu nzima ya Allah na mtume wako yanayotambua "the book"/ "Al-Kitab", "the book"/ Al-Kitab kwa kigiriki ni Biblia.Leta andiko kama lilivyoandikwa ili tuone kama kweli Quran inaweza kutaja kitabu cha kitapeli kama biblia
Acha kuleta ujanja ujanjaQuran yako ina maandiko chungu nzima ya Allah na mtume wako yanayotambua "the book", Biblia ina maana ya "the book" kwa kigiriki.
Safi kwahiyo tumekubaliana biblia ni kitabu cha kitapeli hakuna popote kinapotambulika kwenye maandikoHakuna
Neno Biblia halipo popote.
Wewe umekiona wapi hicho kitabu?Safi kwahiyo tumekubaliana biblia ni kitabu cha kitapeli hakuna popote kinapotambulika kwenye maandiko
🚮Usihamishe mada leta andiko linalotambua kuwa kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia