Wasiyoyajua Waislamu wengi



Sasa mbona hakuna jipya uliloandika lisilojulikana


Hakuna muislamu anayesema uislamu ni Dini ya kwanza.

Tunaposema Mohamad Rehma na Amani ziwe Juu yake ni mtume wa mwisho tunamaana kuna mitume iliyotangulia kabla yake na wote wanavitabu vyao na maelekezo kulingana na kipindi hiko anachokuwa anaishi.

Mwisho ,Quran sio mkusanyiko wa vitabu. Quran ni kitabu cha pekee kilichofunuliwa na Allah kwa Mtume wetu Muhammad ( Rehema amani iwe juu yake) kupitia malaika Jibril kwa kipindi cha miaka 23. Haikukusanywa kutoka kwa vitabu vilivyopita kama Taurati (Torati), Zaburi, au Injili, bali ni ufunuo mpya na wa moja kwa moja ulioshushwa kwa lugha ya Kiarabu.

Ingawa Quran inataja hadithi za manabii wa awali na inathibitisha ukweli wa baadhi ya yaliyomo katika vitabu vya zamani (kama inavyoelezwa katika Surah Al-Ma'idah 5:48 na Surah Yunus 10:37), haimaanishi kuwa ni muunganiko wa vitabu hivyo. Badala yake, Quran inajulikana kama ufunuo na kitabu cha mwisho na kikamilifu ambacho kinathibitisha, kinarekebisha, na kinapanua yale yaliyofunuliwa hapo awali.
 
Unajitesa sana we kijan, unadhani kuna mtu ana muda wa kusoma hilo gazeti lako lote.
 
Punguza bangi
 
Tatizo lako ni ujinga unakusumbua

Kulikuwa na haja gani ya kuletwa manabii au mitume baada ya manabii au mitume waliokuwepo kuondoka?

Nabii akiondoka basi ustaarabu/dini aliyoifundisha inapotea watu wanarudi katika ujinga na ukafiri hivyo analetwa nabii mwimgine Kuja kusafishwa.

Akili ya darasa la pili B tu, Nyerere alikuwa raisi miaka ya 60s mpaka early 80s

Wakati huo barabara, majengo, viwanda nk vilikuwepo ila bado 2025 Samia anaendelea kuimarisha vitu hivyo hivyo

MAKAFIRI MWEZI HUU MMEANDAA THREAD NYINGI ZA KUUPONDA UISLAMU ILA ZOTE UTOPOLO

UKIUKOSOA UISLAMU EITHER UWE MJINGA WA UISLAMU AU KIBURI TU ( UKAZE NATI ZA FUVU)
 
Vitabu vyote vimecopiana tu Biblia Quran na Torah ya Wayahudi wote wamekopi mafundisho toka dini zilizotangulia kabla yao mfano Zoroastrianism, ubudhist na mazuri ya upagani
 
Hii ni fact ila utajibiwa kwa matusi ya kila aina toka makobazi camp.Wao huongozwa na jazba na mihemko kuliko busara.
 
Huko kanisani kwenu ambapo mnamwita mungu mtu aliyezaliwa na mwanamke ?
Ambaye aliposulubiwa akaomba msaada kwa mungu
 
YESU alikuwa myahudi ubudha uliukuta uyahudi miaka 4009
Nimeongelea tarehe ya kuzaliwa Yesu na tarehe ya kuzaliwa Budha.

Budha alizaliwa takribani miaka 563 kabla ya Yesu kuzaliwa.

Na huo Uyahudi wenyewe umekuta dini kibao za kale kama Zoroastrianism, Ancient Egyptian religions, Babylonian religions, Akkadian religions, Assyrian and Mesopotamian religions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…