Wasiyoyajua Waislamu wengi

Wasiyoyajua Waislamu wengi

Shukrani sana mleta hoja, yaani umepanga hoja yenye mashiko na Kuna mengi nimejielimisha sikuyajua, nimejaribu kufuata comments za waislamu nione yeyote anayeweza kupangua hizi hoja kisomi, wote wanakejeli tu.
Nikipata muda nitarudia kusoma hizi hoja mara kadhaa mpaka kila kitu kiniingie akilini maana Kuna waislamu nataka nibanane nao mtaani.
Waislamu husema mambo yao huendana na sayansi yaani ujuha wa Mohamed kupasua mwezi ukawa vipande viwili eti ndio sayansi yao...
 
Kabla hatujasoma gazeti lililojaa pumba Leta andiko linalotambua kuna kitabu kinaitwa biblia
Hii ndio pumba zaidi, ni sawa mkoloni angekataa kuondoka Tanganyika kwa sababu kabla yake eti hakukuwa na nchi inayoitwa Tanganyika
 
Haya shirikiana nae kuleta andiko linalotambua kuna kitabu kinaitwa biblia
 
Andiko kutoka wapi? Au yale yanayotambua kitabu na mtume wa kitapeli, jambazi,mbakaji,kiben 10 muddy?
Leta Andiko linalotoka sehemu yoyote inayotambua kuwa kitabu kinachoitwa Biblia hata ndani ya hicho kitabu cha kitapeli mnachokiita biblia
 
WAZAZI WA MUHAMMAD WALIKUWA MAKAFIRI NA WALIKUFA MAKAFIRI

KUMBE MAMA YAKE NABII MUHAMMAD ALIKUFA KAFIRI
Bi Amina mamake na Muhammad kafa kafiri. tunasoma
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ ((اسْتَأْذَنْتُ رَبِّي أَنْ أَسْتَغْفِرَ لأُمِّي فَلَمْ يَأْذَنْ لِي ، وَاسْتَأْذَنْتُهُ أَنْ أَزُورَ قَبْرَهَا فَأَذِنَ لِي )) مسلم
Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) ambaye amesema: Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Niliomba ruhusa kutoka kwa Allaah kumuombea msamaha mamangu, lakini Hakunipa ruhusa. Nikamuomba idhini nilizuru kaburi lake (mamangu), Naye Akanipatia ruhusa)) [Muslim]
Inaelezwa katika Kitabu cha ‘Awn al-Ma’abuud:
“Kauli yake (Muhammad) ((lakini Hakunipa ruhusa)) ina maana kuwa (mama yake) alikuwa kafiri na hairuhusiwi kumuombea maghfirah kafiri.”
Huu ni msiba mwengine kwa Waislam. Wazazi wake Muhammad wote wamekufa na dhambi kubwa kubwa na huku wakiwa MAKAFIRI.
Hivi huyu Allah mbona aliwachukiwa sana wazazi wa Muhammad?
Je, unafahamu kuwa baba yake Muhammad na yeye alikufa akiwa KAFIRI na yupoe Jehannam?
Hakika kuna mambo ya ajabu ajabu kwenye uislamu.
LAKINI HATUSOMI KUWA MAMA YAKE YESU ALIKUFA NA DHAMBI.
MUHAMMAD AKIRI KUWA BABA YAKE YUPO JEHANNAM
Huu ni MSIBA MKUBWA sana kwa Waislam. Muhammad ambaye baba yake anaitwa Abdullah ikimaanisha "mtumwa wa Allah" imethibitshwa kuwa yupo Jehannam/motoni akichomeka.
Haya si maneno yangu na wala mimi simsingizii baba ya Muhammad, bali haya ni maneno ya Muhammad.
Soma uthibitisho hapa.
Imeripotiwa na Anas: Hakika, mtu mmoja alisema: Mjumbe wa Allah, baba yangu yuko wapi? Akasema: Yuko motoni. Alipogeuka kuondoka, akamwita na kusema: Hakika baba yangu na baba yako wako Motoni. (Sahih Muslim, Kitabu 001, Namba 0398).
Na swali ambalo tungependa wajiulize Waislam ni kuwa, kwa nini baba yake Muhammad, ambaye alikuwa mpagani aliitwa ‘Abdullah’?
 
Sawa ukimaliza tuletee andiko linalotambua kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa Biblia
 
Mtu yeyote anayejinasibu kuileza dini huku akiponda dini ya mwengine na kuisifia nyingine (ama kutumia reference ya dini nyingine kuiponda nyingine), kwangu mimi huyu mtu hana akili kama mtoa mada
 
Sawa ukimaliza tuletee andiko linalotambua kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa Biblia

QURAN KITABU CHA KISHETANI, NA HAKUANDIKA MUHAMAD MAANA HAKUWA AKIJUA KUSOMA WALA KUANDIKA. ALIKUWA MAAMUMA​

Je, madai ya kuwa Quran imekaMIlika na ipo waziwazi ni ya kweli?
Allah ateremsha aya na kudai kuwa, Quran haijakamilika na haipo waziwazi.
Allah asema kuwa aya zingine ndani ya Quran hakuna ajua maana yake isipokuwa Allah.

Leo tutaangalia utata ulio jaa ndani ya Quran ambayo wanadhuoni wengi hudai kuwa imenyooka, huku Allah akiwapinga na kuteremsha aya ambayo inasema kuwa Quran haijanyooka na haipo waziwazi.
Kwanza tuanze kwa kuangalia aya ambayo inasema kuwa Quran ipo wazi na aya zake zimepambanuliwa ni uongofu kwa walio ongoka.
Surat HUD (11:1). Alif Lam Ra. Hiki ni Kitabu ambacho Aya zake zimewekwa wazi, kisha zikapambanuliwa, kilicho toka kwa Mwenye Hikima na Mwenye Khabari
Surat Al Anaam (6:114). Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka.
Surat An nah’k (16:89). Na (waonye) siku tutakapo wainua mashahidi katika kila umma wakiwashuhudia kwa yanayo tokana na wao, na tutakuleta wewe uwe shahidi juu ya hao. Na tumekuteremshia Kitabu hiki kinacho bainisha kila kitu, na ni uwongofu, na rehema, na bishara kwa Waislamu Surah tulizo ziweka hapo juu, zinasema na kudai kuwa Quran imepambanuliwa na ni kitabu kilizo elezwa waziwazi. Ikimaanisha kuwa, unapoisoma Quran, hautapata maswali au kusoma utata katika aya zilizo teremshwa na Allah.
LAKINI HAYO MADAI, YANAPINGANA NA UTATA KATIKA AYA IFUATAYO INAYO DAI KUWA, NDANI YA KURAN KUNA AYA AMBAZO ALLAH PEKE YAKE NDIE ANAZO ZIFAHAMU

Hebu tuisome hiyo aya:
Surat Al Imra (3:7) Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo ndizo msingi wa Kitabu hichi. Na ziko nyengine za mifano. Ama wale ambao nyoyoni mwao umo upotovu wanafuata zile za mifano kwa kutafuta fitna, na kutafuta maana yake; na wala hapana ajuaye maana yake ila Mwenyezi Mungu. Na wale wenye msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka kwa Mola wetu Mlezi. Lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.
Ndugu zanguni, huu ni msiba mwingine katika Uislam, Allah katika Surat Al Imra iliyoteremka Madina anasema kuwa:
i. Ndani ya Quran kuna Aya mukham, zenye maana wazi,
ii. Zipo aya zenye mifano ambazo wanao zifuata hutafuta fitna na kutafuta maana yake,
iii. Zipo aya ambao hapana ajuaye maana yake ila Allah.
Ndugu zanguni, hii Surat 3 aya 7 inapingana na Surat HUD 11:1, Surat Al Anaam (6:114), na Surat An nah’k (16:89) zinazo dai kuwa aya za kuran zipo waziwazi na zimepambanuliwa.
Sasa, Waislam wafuate kipi?
Je, Waislam wanaamini kipi katika hii Quran inayo jipinga yenyewe na ambayo haipo waziwazi?
Mbona Allah anajipinga mwenyewe katika hizo aya hapo juu?
Au tatizo lilikuwa ni Muhammad ambaye alikuwa hajui kusoma wala kuandika na alishindwa kukariri maelekezo ya Jibril?
ZAIDI YA HAPO, kwanini Allah aliteremsha aya ambazo hakuna azijuaye ila yeye Allah?
Hizo aya zinamsaidia vipi Mwislamu?
Waislam wanapata faida gain wanapo zisoma hizo aya huku ikifahamika kuwa ajuaye maana zake ni Allah peke yake?
MWSIHO, ningependa kufahamu, hawa Waislam wanaelewaje kuwa aya walizo zisoma ndivyo walitakiwa walelewa huku ikifahamika Allah ameweka mtego kwa kusema kuwa, kuna aya ndani ya Quran ambazo ni Allah pekee anaye zifahamu.
Kumbe ndio maana Waislam wana pigana wenyewe kwa wenyewe kama ISIS, Sunni vs Shia, nakadhalika.
Kumbe ndio maana Quran inausaidizi wa Sahih Hadith na Suna za Muhammad.
 
Kama unakubali hakuna kitabu kinachotambulika kama biblia kwenye maandiko, nyie mmetoa wapi kitabu kinachoitwa Biblia?
Kutoka kwa Mtakatifu Jerome.
 
Ukimaliza tuletee andiko linalotambua kuna kitabu cha kitapeli kinachoitwa biblia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom