Akipita panya mkorofi akapamia hilo sinia nyumba nzima mnaamka hiyo ilikuwa alarm madhubuti sana achilia mbali dingi akisikia footsteps nje basi anajikohozesha kuonyesha watu wapo macho mida ya wanga.