Mkuu wangu hapa sijakuelewa unapohoji kuwa kwenye Uchumi kuna nani?. Naomba ifahamike kwamba sii jukumu la ndani ya Chadema kujaza nafasi za kuendesha lolote lile iwe sera, sheria wala uchumi wa nchi yetu bali ni kutokana na katiba ya nchi, sera za chama ndizo zitakazo ongoza watu ktk utekelezaji. Sisi wote ni waajiriwa wa utawala wa Chadema au CCM maadam hata kama hatukubaliani na sera zao.wakuu..
sometimes i fail to understand sisi members wa JF, it seems we only want to hear what we want to hear!!! its not right at all... hatuna haja ya kulaumu wasirra kwani ameongea anachotaka yeye, na kwa upeo na utashi wake
Hamna haja ya yeye kuwataka watanzania wamsamehe, hivi ni mara ngapi wagombea wa chadema wamesema fulani wa ccm au wa cuf arudi kujifunza?? IT IS POLITICS AND THATS IT, TUACHE HIZO
Now i have another even bigger problem, alichosema wasira kina ukweli ila ametumia kugha ndefu sana kuongea, CHADEMA is a very good party na kina watu wazuri sana, mfano kwenye sera kitila na wenzake could do, kwenye sheria na utawala bora wapo akina marando, slaa, lisu, nk... je kwenye uchumi yupo nani??
Na swali la msingi sana hapa ni je do we have strategies and approached clearly presented on chademas manifesto?? kama yes basi its ok
WASIRA HANA HAJA YA KUOMBA MSAMAHA MTU YOYOTE, AMEONGEA KAMA MWANASIASA NA NDIVYO TULIVYOAMUA WATANZANIA KUISHI
Kitendo cha bwana wasira kusema Dr Silaa ni Muongo ni uzandiki na akikubaliki. Yeye ni sehemu ya Mafisadi, sasa anaposema Elimu ya Bure haiwezzekani ni kwanini, embu hela za kagoda, tangold, kiwira, Income support, richmond zirudi tuone.
source: HabariLeo | Wasira : Dk. Slaa mbumbumbu wa uchumi
Nimesikitika sana; nafikiri tunaomba ufisadi wa |Wasira uwekwe ktk kumbu kumbu na urushwe rasmi naona huyu ndiye kikwazo; wamejaribu kumtumia kinana hauziki; sasa wamemleta Chegeni; hamna kitu anasubiria ukuu wa wilaya
Mwenye data juu ya S. Wasira (BM) azilete hapa
radhi ya nini wakati slaa kasema ataleta treni dar-mwanza masaa matatu, afute kodi na kuongeza matumizi yote, kweli!!
Kama anaongea kimbumbumbu asiambiwe sasa?...tyson kamwotoe slaa, sucker punch,sio tko..akiguswa slaa hisia kibao!