PreGE2025 Wasira: Kuna watu wameshindwa siasa wanataka fujo

PreGE2025 Wasira: Kuna watu wameshindwa siasa wanataka fujo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chama Cha Mapinduzi kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amani na usalama wa nchi.

Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza hayo April 15, 2025 alipokuwa akizungumza katika kikao cha ndani kilichowakutanisha viongozi wa Chama kutoka Wilaya ya Tabora Mjini na Uyui mkoani Tabora.



View: https://youtu.be/KaGY3eT75XM?si=JVVx97zRU1NU4uxx
 
siasa za kuibiana kura?🤣🤣🤣
mimi simlaumu lisu haya yanskuja chanzo ni ccm
 
Back
Top Bottom