Chama Cha Mapinduzi kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amani na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
Ni mjinga tu au kibaraka kwa malengo maalum anayeweza kufanya upumbavu wa namna hiyo.
Unajua utapigwa na polisi, utaibiwa kura, utaharibiwa mikutano yako ya kampeni na wakishindwa vyote hivyo hata ukishinda hawakutangazi na wanaweza kuua hata watu wako wa karibu, halafu ukachome pesa na...
Watanzania wote tuunganeni Kwa pamoja Bila Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi, UCHAGUZI USIFANYIKE !!.
Moja ya vielelezo vitakavyoenda kuwaadhirisha Jeshi la Polisi Tanzania kwenye KESI YA KIJINGA dhidi ya LISSU , KESI inayotazamwa na kufatilia na Dunia nzima , ni hiki hapa Wakuu
Alafu ,Jeshi...
Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm)
Rejea mada tajwa.
Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.